Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
Hadi siku akute watu wamemtandika Abduli na anachechemea aweza elewa kitu Hy bibi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia anatoa hotuba kama an overprivileged high school slay queen who is absolutely unaware of the political landscape.Brother huyu mtu ukipata dk 5 tu za kumsikiliza bila kusoma hotuba unaona kabisa ana uwezo mdogo sana
Unafikiri Samia ni mjinga sana hajui hili, ni muovu sana anajua hili na kulidogosha tu, au vyote kwa pamoja?Kifo Cha kibao kimeibua hisia kubwa kutokana na namna alivyouawa.yaani katekwa hadharani na watu wenye gari za serikali mbele ya umma na kesho yake kupatikana ameuawa.
Kama ambavyo wagalatia wamepata sababu ya kumshambulia muislam, rais angekuwa mgalatia wala tusingewaona hapa , kimyaaaaa mungetulia tuliiiiWalibofya pabaya,marehemu angekuwa mgalatia hakuna ambaye angestuka
Pia amefananisha kifo cha mzee Kibao na vifo vingine tu mfano wanaohisiwa kuwa wachawi, albino nk.Hi kauli kuwa kifo ni kifo tu inazidi kutupa uchungu watanzania.
Kama huyu mzee angekufa kwa kifo cha kawaida. Nani angelaani?
Sasa hili la kusema kifo ni kifo tu linatoka wapi? Panick au kujisahau?
ukweli ni kwamba,Huyu rais bana, anadhani hatujui tofauti za vifo vya huko, achia mbali hatua zinazochukuliwa na wahusika kupatikana. Haya mauji na utekani wa sasa wa wapinzani, serekali yake ndio wahusika namba moja, na watu wote wenye akili timamu wanajua serekali yake ndio wahusika wakuu. Hiki kifo cha Ali Kibao kimekuja kuondoa shaka ya wale waliokuwa wanadhani vyombo vya dola sio wahusika. Hii hotuba yake lazima angeitoa hivi hivi maana yeye ndio muhusika, hivyo lazima avitetee vyombo vya dola.
Uzuri pamoja na geresha zake za kitoto, bado hajafanikiwa kubadilisha ukweli uliopo kwenye akili za wananchi walio wengi, wala kurejesha imani kwa vyombo vya dola na serekali yake.
Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable
Unamaanisha wanaoua wana nguvu kuliko yeye na serikali yake yote?Wanaoua watu makusudi ili kumwondoa huyu mama,tafadhali waache....mama atamaliza wakati wake ataondoka .....msiue watu wasio na hatia jaman...siyo vizuri kiukweli
Nimecheka Sana hii nchi ina vituko sana Jambazi atoke huko na VX na Bunduki ablock gari mchana mweupe kwenye gari kuna trafic afike ajitambulishe yeye ni Askari anapingu ambebe mtu mchana kweupe kama tumefika hatua hiyo Majambazi kuchukua watu mchana kweupe tena kublock gari ni hatari kwa Taifa ila najua hatujafika Uko je hao ni Wakina nani maana Police wanakataaHata mtu mzima mpumbavu naye huzeeka.
Hivi Mwanasiasa, na Tena wa CHAMA kikubwa, Tena katika Nchi iliyoingia mikataba ya kimataifa kuhusu Siasa ,, AUWAWE, yaan ichukuliwe kua ni Kifo Cha kawaida tu??.
Mpumbavu anatolea mfano Trump, Trump si Dunia nzima kila Chombo Cha habari kilisimama kazi zake na kuanza kufatilia habari za Trump?.kwann wasingempuuza tu kua ni mtu wa kawaida??.
Anashangaa nini Kwa Mzee Kibao??.
Kwann Mataifa yasiingilie Kati katika bara hili la kijinga ambalo víongozi ni madikteta?.
Yaan daa,yaan mwee....yaan hata sielewi yaani....kwamba anaagiza mkuu? Mi sitaki kuamini hilo mbona hafananii😓Unamaanisha wanaoua wana nguvu kuliko yeye na serikali yote?
🤔🤔 Wanaoua huwa wanafananaje?Yaan daa,yaan mwee....yaan hata sielewi yaani....kwamba anaagiza mkuu? Mi sitaki kuamini hilo mbona hafananii😓
Aisee kapuyanga mwanzo mwisho. Nilitegemea aoneshe kukerwa na kuchukizwa na haya matukio ndio kwanza anapiga vijembe masikini watanzania.Maza kwa speech yake leo kajichanganya mazima
Khaa
Kauli zao hazijifichi mkuu🤔🤔 Wanaoua huwa wanafananaje?
☹️Yani Leo ndio siku nimemtoa akilini huyu mwanamke.