Rais Samia ingia mtandaoni umsikilize Tundu Lissu kuhusu yanayoendelea Ngorongoro

Anajua sn tatizo ni waliomzunguka
 
Tatizo mnaropoka tu kama hamna akili vile. Hivi kabla kupitishwa kuwa hifadhi ya serengeti walikuwepo akina nani huko? Jina la serengeti linatokana na lugha gani? Haya wakakubali wahamishwe toka serengeti kwenda ngorongoro sasa tena wakoloni weusi wanatafuta sababu kudai kuwa hawa ni wavamizi...jiulize na hapo ngorongoro alikuwapo nani kabla kufanywa hifadhi? Kama kuzidi kwa idadi ya watu na dawa ni kuwaondoa, basi hili lifanywe kwa kila wilaya Tanzania. Twendeni pwani tuwafurumishe, tukimaliza tuahamie tanga, dodoma na kwingineko.

Wafugaji hasa wa jamii ya kimasai ni wahifadhi wazuri sana wa mazingira na sehemu zote wanakoishi ndio hifadhi zimeundwa...angalia manyara, tarangire, arusha national park. Imagine ingekuwa wakulima ndio waliachwa ngorongoro hiyo 1950s leo hiyo ngorongoro ingekuwaje?

Tukienda Loliondo na OBC since wakati wa Mh. Mwinyi...tukitaka kulinganisha maslahi nchi iliyopata na yakarudi kwa wananchi kuna chochote cha maana? Au maslahi ya mwarabu kuvuna bila kipimo wala kizuizi huku akinufaisha wachache...maana ndivyo wengi tunavyoamini maana yanayotendeka pale ni siri!
 
Wanajiona ni nyara ya Taifa ndiyo maana ni wanatembea na silaha huku mwananchi mwingine ukitembea na panga kiunoni unashtakiwa ugaidi!
 
Hukawii kukuta yeye na ZZK Lao 1 wanatuchezesha mdumange Tu!😅
 
Hukawii kukuta yeye na ZZK Lao 1 wanatuchezesha mdumange Tu!😅
Nitawaletea huo ushahidi this is midweek watu tuna majukumu yetu atuwezi kuangaika na hizo videos za ushahidi.

But ninao huo ushaidi kwa by 100%, I just need to present the evidence and I will in due time.

Waambie wamuulize Lissu wakati natafuta evidence kama atakataa ajawahi ajiriwa as a conversationists wa Ngororo na serikali.

Huyo bwana hilo eneo la Ngorongoro ni government expert and sympathetic to historical context ya wamasaai on his arguments not because of passion but information and knowledge of the local culture context.
 
..Lissu ni Mtz kwa hiyo haina tatizo yeye kuajiriwa na serikali ya Tz kama raia wengine wa nchi yetu.

..Wewe umeleta jambo jipya na sisi tumeku-challenge kwasababu hujalitetea kwa ushahidi wowote.

..Na nadhani unafanya makusudi ili tuendelee kuku-challenge badala ya kujadili mambo muhimu ambayo yako ktk hoja za Tundu Lissu.

..Unataka tumjadili Lissu binafsi badala ya kujadili hoja zake.

..Mwisho, Lissu alishasema kwamba huku kwenye harakati na siasa alisukumizwa tu, yeye ndoto yake ilikuwa ni kuajiriwa na serikali kama mhadhiri wa sheria chuo kikuu Dsm.
 
Maswali kuntu
 
Mantiki safi! Hata Kilimanjaro itapata watalii wengi zaidi kama Wachagga wanaondolewa. Mbeya Peak ni maridadi sana, isipokuwa Wasafwa na Wanyakyusa wameharibu mazingira. ..... Niendelee kwa kutumia mantiki yako??
 
Vyoo huwa ni kwa ajili ya wanawake na watoto,wanaume ni porini tu na ni mbolea tosha kwa mimea kutokanana aina ya chakula anachokula.😝
sasa uko kudondosha vinyesi kama wanyama ndio tunakopinga kwasababu kuna watalii wa kimataifa ambao hawajazoea maisha hayo wanakuja huko,w ataugua na kublacklist nchi yetu. awali mlikuwa wachache sasaivi mnazidi kuongezeka na uchafu utakuwa mwingi zaidi. tokeni kwenye mbuga mkaishi na wanadamu wenzenu kwenye makazi ya wanadamu.
 
Mantiki safi! Hata Kilimanjaro itapata watalii wengi zaidi kama Wachagga wanaondolewa. Mbeya Peak ni maridadi sana, isipokuwa Wasafwa na Wanyakyusa wameharibu mazingira. ..... Niendelee kwa kutumia mantiki yako??
kuna wachaga wangapi wanaishi kule mlimani? kule mbeya peak kuna mwanadamu anaishi? kuna wanyama? halafu hao uliowataja wote wamestaarabika, wanachimba vyoo. jilinganishe tena. usijifariji hampo kapu moja.
 
Kama ni Ngoringoro basi kwa comment yako tumepigwa
 
kuna wachaga wangapi wanaishi kule mlimani? kule mbeya peak kuna mwanadamu anaishi? kuna wanyama? halafu hao uliowataja wote wamestaarabika, wanachimba vyoo. jilinganishe tena. usijifariji hampo kapu moja.
Kumbe haki za kibinadamu na haki za kiraia zinategemea kuchimba shimo? Cjui unachekesha au kuhuzunisha?
 
Asili yake ni mfugaji hawezi kuja kuishi kinondoni na mifugo.
Usiwasikilize kina kitenge,masai ndani ya ngorongoro ni moja wapo ya kivutio cha utalii.

Asikwambie mtu,mamlaka ya ngoro2 ina wajibu wa kuangalia mazingira yasiharibiwe.
 
zamani walikuwa wachache na walikuwa vivutio kwelikweli. sasaivi wapo 120,000 imagine watu wote hao hawana vyoo, na wana mangómbe rundo, baada ya miaka 20 watakuwa 500,000 zaidi wa watu walioko mkoa mzima wa Iringa, wote hao watakuwa ndani ya mbuga. wanachafua mazingira kwa kujifanya wao kuishi kiporipori ni asili yao, wanaoa wake hata 5 na watoto rundo ndio maana wanazaliana sana, mifugo yao inachangamana na wanyama wataambukizana magonjwa, hawana huduma za afya kwa ajili yao wenyewe, na wanafanya wanyama wakimbie makazi yao kwasababu ya moto. wanyama huwa wanakimbia sehemu moto unanukia. pia umesahau kuwa masai wapo hadi zanzibar.
 
Kumbe haki za kibinadamu na haki za kiraia zinategemea kuchimba shimo? Cjui unachekesha au kuhuzunisha?
ina maana huoni umuhimu wa kuwa na choo? sasa kama wewe unadondosha uchafu kama ngómbe utajiitaje binadamu mstaarabu sasa? tunawasaidia ninyi wenyewe muondokane na uporipori huo.
 
Madhara ya punyeto ndo aya,idiotic writing
 
ina maana huoni umuhimu wa kuwa na choo? sasa kama wewe unadondosha uchafu kama ngómbe utajiitaje binadamu mstaarabu sasa? tunawasaidia ninyi wenyewe muondokane na uporipori huo.
Sijawahi kujiita "binadamu mstaarabu" maana nina wasiwasi kuhusu uarabu ndani yangu..... Angalau nimejifunza jinsi ya kuandika "ng'ombe" (siyo "ngómbe" kama wewe, endela kufanya majaribio, ustaarabu wako utakusaidia bila shaka..)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…