salary please, nirusghie link inbox if possibleJamaa ana knowledge kubwa sana juu ya mambo mengi na bila shaka ni i kwa sababu anasoma sana vitabu, anasoma historia na pia anafanya utafiti yeye kama yeye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
salary please, nirusghie link inbox if possibleJamaa ana knowledge kubwa sana juu ya mambo mengi na bila shaka ni i kwa sababu anasoma sana vitabu, anasoma historia na pia anafanya utafiti yeye kama yeye.
Wanafanya Nini pale?kwenye madini binafsi sikukubaliana na JPM kwenye baadhi ya mambo lakini TL hakuna lamaana aliloshauri zaidi ya makelele na baadaye nilihisi ana maslahi na Acacia kupitia watu fulani.
Ngoringoro its either Masai waondoke na Ngorongoro ibaki au Masai wabaki na Ngorongoro ipotee. Mwaka 1950 kulikuwa na Masai wangapi Ngorongoro na leo 2022 kuna Masai wangapi Ngorongoro...? Ukubwa wa Ngorongoro ni ule ule au umeongezeka..
hakuna jema alishawahi kuliona hapa Tanzania. badala ya kushauri, mtu anakuja kuwatisha kwamba mtashitakiwa.Yaani alishauri nini kuhusu madini ambacho kingefanyika zaidi ya kusema tutashitakiwa? Mambo mengine yahahitaji akili za kizalendo na siyo mtu kama lisu anayelipwa na hao waliompiga risasi
Usalama wake upo rehani.. Bado tunamuhitaji sanaLissu kwanini abaki huko kwa mabeberu, nchi haendeshwi space.
watafanay ngorongoro kuwa jangwa, majani yakiisha, watakimbilia kwengine na wanyama hakuna. kwani maeneo mengine hayo yenye migogoro kati ya masai na wakulima kukoja? ni kwamba huko walikotoka wamepukutisha nyasi wanakimbilia maeneo ya wakulima sasa. unajua ukifuga sana ng'ombe hadi akili huwa zinaweza kufanana na ngómbe. kichwani mwao hao wanaharakati hawajui kuwa overgrazing huwa inaharibu mazingira kabisa na wanataka waharibu ngorongoro ili wabaki na ngómbe wao.Kwani wanyama wao wanasemaje kuhusu uwepo wa masai ngorongoro?? .napendekeza iundwe tume ya kuongea na wanyama tujue kama nao wanafurahia majirani zao wamasai kuwepo kule ngorongoro.
Kwa muda mrefu tundu yuko jobless anakula bure, kulala bure, acha awe mwandishi wa huru wa habari maana hakuna chombo cha habari anachofanyia kazi.Jamaa ana knowledge kubwa sana juu ya mambo mengi na bila shaka ni i kwa sababu anasoma sana vitabu, anasoma historia na pia anafanya utafiti yeye kama yeye.
Ni kweli kabisa mkuu.Hivi kuna hasara gani ninyi Masai mkihamishwa ngorongoro? Hakuna hata nukta ya hasara taifa litapata.
Tundu lisu sio was kumsikiliza kwasababu anatumiwa na wakenya ili ninyi mbaki halo muue ngorongoro utalii ushamiri Kenya kuliko Tanzania.
Kati ya maeneo yoote Tanzania mmeona ni ngorongoro mbugani tu mnaweza kuishi? MNA akili kweli ninyi? Na ninyi so Masai mnaishi na kulala popote,mnaogopa mini sasa kuhamia maeneo mengine?
Lissu alimshauri Jpm kuhusu madini Lakini Jpm alidharaua mwishowe hatujui makinikia yaliishia wapiMhe. nakushauri uingie mariaspace muda huu (kama haujaingia) umsikilize Lissu akichambua yanayoendelea na ambayo yamekuwa yakiendelea huko Ngorongo na nakushauri usome na kitabu chake alichoandika kuhusu Ngorongoro.
Ukikosa nafasi, basi sikiliza hotuba yake ambayo bila shaka itapatkana ikiwa ni recorded (kumbuka amefanya utafiti katika eneo hilo).
Mama, Lissu atakusaidia sana katika hili jambo na tusingekuwa na mahusiano mabovu ya kisiasa, Lissu alipaswa kuwa mmoja wa washauri wako juu ya kutatua huu mgogoro wa Ngororo unaotokota chini chini kwa chini au tuseme unaotaka kuibuka.
Kama alivyomshauri Magufuli kwenye madini na akapuuzwa, ndivyo unaweza kufanya wewe, ila sidhani kama na wewe utakwepa yale matokeo yaliyomkuta mtangulizi wako katika ule mgogoro.
tunataka watalii waende mbugani, hakuna miundombinu mizuri ya sewages n.k, watu wanaishi kama wanyama tu, kamata masai wote Tanzania waambie kila mtu huko porini aonyeshe wapi amejenga choo, utagundua wanaishi tu kiporipori. kuna siku wazungu wataharisha huko mbugani hadi wataacha kuja kutalii. na jueni wazungu ambao wengi ndio watalii matumbo yao hayana sugu kama sisi wabantu..hahahaha.Ni kweli kabisa mkuu.
Kama Kuna mtu anaona kuwa Maisha ya kuishi na wanyama mwitu ni maisha Bora basi ahamie Huko.
Kwa nini watu wanapenda kuwatumia binadamu wenzao kama wanyama Kwa faida zao.
Mapesa Mengi yanayotolewa na Mamlaka ya Ngorongoro Kwa ajili ya Wamasai wanaoishi pale yanawanufaisha watu wanaoishi Masaki na Njiro kule Arusha.
Tunawadanganya Wakazi wa Loliondo wakati watoto wao wanakosa Elimu. Wanakosa Elimu ya kuwafanya wawe Maprofesa,Madaktari,Mainjinia, Marubani na kuwa mameneja wa mashirika makubwa kama Tanesco, NHC, NSSF na Mabenki. Watoto wanachunga Kondoo katikati ya mbwa Mwitu. Pamekua na kamji kenye nyumba nyingi za udongo lakini ni Mji usio na Miundo mbinu Bora ya Maji, umeme, Barabara,mashule, viwanja vya michezo Kwa ajili ya watoto wao, majumba ya starehe ,usafiri wa uhakika, Mahospitali n.k.
Kama Kuna muongo na mnafiki anayeona kuwa Yale maisha ndani ya hifadhi ni maendeleo Bora basi ni mtu wa kupuuza mana ni mtu mlaghai.
Kupigwa kwake Risasi ilikuwa kama kumpiga teke Chura. Amepata exposure na connection kubwa huko Ulaya na Marekani baada ya kuwa anaumwa. Hiyo Fursa asingeipata na hakuwahi kuipataKwa muda mrefu tundu yuko jobless anakula bure, kulala bure, acha awe mwandishi wa huru wa habari maana hakuna chombo cha habari anachofanyia kazi.
Acha asome historia na pia afanye utafiti yeye kama yeye.
Hapo Chalinze tu Jiji cha Msoga nyumbani kwa Kikwete kuna wamasai kibao wanakunya kwenye vichaka.tunataka watalii waende mbugani, hakuna miundombinu mizuri ya sewages n.k, watu wanaishi kama wanyama tu, kamata masai wote Tanzania waambie kila mtu huko porini aonyeshe wapi amejenga choo, utagundua wanaishi tu kiporipori. kuna siku wazungu wataharisha huko mbugani hadi wataacha kuja kutalii. na jueni wazungu ambao wengi ndio watalii matumbo yao hayana sugu kama sisi wabantu..hahahaha.
Wewe lumumba uliyeazima ubongo wako huko ccm uliwahi kumwelewa Tundu Lissu akili kubwa??kwenye madini binafsi sikukubaliana na JPM kwenye baadhi ya mambo lakini TL hakuna lamaana aliloshauri zaidi ya makelele na baadaye nilihisi ana maslahi na Acacia kupitia watu fulani.
Ngoringoro its either Masai waondoke na Ngorongoro ibaki au Masai wabaki na Ngorongoro ipotee. Mwaka 1950 kulikuwa na Masai wangapi Ngorongoro na leo 2022 kuna Masai wangapi Ngorongoro...? Ukubwa wa Ngorongoro ni ule ule au umeongezeka..
tuseme ukweli, kwa wale ambao tumefika ngorongoro, huw akunakuwa na yale maboma yamezunguka nyumba, hivi kati ya yale maboma yamezungushwa, mojawapo ya bomba huwa linakuwa ni la choo? vijumba unavikuta porini ni kijumba kimoja kimoja tu, tunategemea kuwe na nyumba ya kuishi na walau kajijumba ka choo pembeni, lakini unakuta kuan boma moja tu au mawili tu au matatu na yote hayo ndani wanakaa wake za mtu mmoja na watoto. sasa unajiuliza, vyoo wanajenga wapi? au ndo kutembea na jemba. huko machungani wanajisaidiaga wapi? au ndo kusambaza uchafu kama pundamilia tu? ndo mnataka msambaze magonjwa kwenye mbuga huko tukose watalii kwasababu yenu? na sisi hatutaki kuwafanya ninyi kivutio cha utalii, tunawajali kama wanadamu sawa na sisi.Hapo Chalinze tu Jiji cha Msoga nyumbani kwa Kikwete kuna wamasai kibao wanakunya kwenye vichaka.
Umeanza lini kumpenda LissuLissu kwanini abaki huko kwa mabeberu, nchi haendeshwi space.
🤣🤣🤣tuseme ukweli, kwa wale ambao tumefika ngorongoro, huw akunakuwa na yale maboma yamezunguka nyumba, hivi kati ya yale maboma yamezungushwa, mojawapo ya bomba huwa linakuwa ni la choo? vijumba unavikuta porini ni kijumba kimoja kimoja tu, tunategemea kuwe na nyumba ya kuishi na walau kajijumba ka choo pembeni, lakini unakuta kuan boma moja tu au mawili tu au matatu na yote hayo ndani wanakaa wake za mtu mmoja na watoto. sasa unajiuliza, vyoo wanajenga wapi? au ndo kutembea na jemba. huko machungani wanajisaidiaga wapi? au ndo kusambaza uchafu kama pundamilia tu? ndo mnataka msambaze magonjwa kwenye mbuga huko tukose watalii kwasababu yenu? na sisi hatutaki kuwafanya ninyi kivutio cha utalii, tunawajali kama wanadamu sawa na sisi.
Umeanza lini kumpenda Lissu
Wewe lumumba uliyeazima ubongo wako huko ccm uliwahi kumwelewa Tundu Lissu akili kubwa??
Hiyo taaluma yako si uitaje kama ulivyotaja ya Lissu🤣🤣🤣Inawezekana TL akawa mzuri sana kwenye sheria aliyosomea, kama mimi nilivyo mzuri sana kwenye taalum yangu niliyosomea....ila inapofika kwenye issue ya uelewa wa mambo mbalimbali na exposure binafsi namuacha mbali sana Lissu....tena huko kwenye madini nina uelewa mpana sana mara 10000 kuliko huyo Lissu unayemsema...ananidhidi uelewa kwenye taaluma yake ya sheria, hilo nakubali...