Rais Samia ingia mtandaoni umsikilize Tundu Lissu kuhusu yanayoendelea Ngorongoro

Rais Samia ingia mtandaoni umsikilize Tundu Lissu kuhusu yanayoendelea Ngorongoro

tunaweza kuwa na wafugaji wachache wakaishi wote hata Mvomero pale, wakafuga kisasa bado nchi nzima tukanywa Maziwa na Nyama mpaka tukaiacha.

Hawa Masai wanazurula zurula tu na mang'ombe mapolini huko na kuleta migogoro kila siku...wengine sasa wahamie mjini waanze kuvaa jeans na kuishi town kufanya mambo mengine.

Hapa Qatar hakuna Masai, lakini kwa siku lita za maziwa zinazozalishwa na nyama Tanzania hata mwezi hatuwezi kuzalisha...
 
Mhe. nakushauri uingie mariaspace muda huu(kama haujaingia) umsikilize Lissu akichambua yanayoendelea na ambayo yamekuwa yakiendelea huko Ngorongo na nakushauri usome na kitabu chake alichoandika kuhusu Ngorongoro...
Yule mtangazaji mwenye kofia ya adidas anaweza kupoteza nafasi yake kwakuwa atatafsiriwa ameungana na Lissu
 
Mhe. nakushauri uingie mariaspace muda huu(kama haujaingia) umsikilize Lissu akichambua yanayoendelea na ambayo yamekuwa yakiendelea huko Ngorongo na nakushauri usome na kitabu chake alichoandika kuhusu Ngorongoro...
Ulipoishia, umeandika upumbavu wa MIGa?
 
Mke wangu ule mkopo wako Kule EFTA ulimaliza Salama?Tangu EFTA wakunyanganye vifaa walivyokukopesha kwa kushindwa kulipa marejesho Yao naona hua unapaniki Sana.
😂😂😂😂. KUMBE NAJADILIANA NA JITU KAMA WW?? PUNGUANI NA ASIYE NA UBONGO KABISA?? NDIO MAANA BADO UNAMLILIA MFU AMBAYE HATUKUMPENDA KABISA. UTAKUWA HATA KUOGA HAUOGI WW UNANUKA UVUNDO TUPU KILA SIKU. MWENDAZAKE ALIKUWA NA WASHABIKI MAFII KABISA. 😂😂😂
 
Mhe. nakushauri uingie mariaspace muda huu(kama haujaingia) umsikilize Lissu akichambua yanayoendelea na ambayo yamekuwa yakiendelea huko Ngorongo na nakushauri usome na kitabu chake alichoandika kuhusu Ngorongoro...
Ushauri utachukuliwa but kuna wabunge wanasikiliza why hawamhoji Waziri Bungeni?
 
Wamasai wamejaa nchi nzima na ngo'mbe zao. Yani vurugu mechi. Ila tunaishinao hivyo hivyo. Leo tunacheka kesho tumenuniana. Ila inaonekana wao sehemu moja tu ndo. ......wakiondoka huko ndo itakuwa kama. .labda wote watakufa...
Unaijua hata ngorongoro wewe? Unajua uwepo wa masai ngorongoro ni moja ya sababu na kivutio cha utalii?

Wasukuma wapi kila eneo wanaharibu mazingira kwa kuchimba madini kila sehemu mbona hamjawahi kuwalalamikia
 
Mhe. nakushauri uingie mariaspace muda huu(kama haujaingia) umsikilize Lissu akichambua yanayoendelea na ambayo yamekuwa yakiendelea huko Ngorongo na nakushauri usome na kitabu chake alichoandika kuhusu Ngorongoro...
Ingekuwa vyema ungeandika hapa alichosema huko Twitter maana wengine hatupo huko
 
Kwenye Ngorongoro hakuna ushauri mzuri wa kumpa Rais zaidi ya kumwambia kuwa Ngorongoro inapotea kabisa asipochukua hatua za haraka kupunguza zaidi shughuli za kibinadamu hili ni jambo gumu na hichi kinaweza kuwa kipimo kingine cha Urais wake.....
Wamasai lazima wathibitiwe!
 
Mhe. nakushauri uingie mariaspace muda huu(kama haujaingia) umsikilize Lissu akichambua yanayoendelea na ambayo yamekuwa yakiendelea huko Ngorongo na nakushauri usome na kitabu chake alichoandika kuhusu Ngorongoro...
Kama alivyomshauri Magufuli kwenye madini na akapuuzwa, ndivyo unaweza kufanya wewe, ila sidhani kama na wewe utakwepa yale matokeo yaliyomkuta mtangulizi wako katika ule mgogoro.
 
Ngorongoro inamanufaa makubwa sana kwa taifa na kihistoria,tusione haya kuchukua hatua kwa hiyo jamii ya watu laki moja wakati Tanzania ina watu milioni 65 kwa hiyo hakuna athari yoyote kisiasa hao wapiga mdomo baadae watageuka na kulaumu serikali haikuchukua hatua hadi hifadhi ya Ngororo imepotea.
 
Unamchukia masai ila unapenda nyama na maziwa? We vipi, huna msimamo! Kuwa rasi ule malalio ya nyoka mpaka unye bluu
Wapi nimeandika kwamba namchukia masai? Kichwa chako ni kizima kweli?

Ushawahi Lima, ukahangaika na zao lako kama miezi miwili hivi. Kitu kinakuja vizuuri, halafu siku. ..baada kumaliza shughuli zako za asubuhi hapo shambani. ..umetulia unakunywa chai, mara unasikia makelele.

Unatoka nje unakuta ngo'mbe kama 300 hivi wanaburudi kwenye mazao yako. Halafu mchingaji humuoni. mpaka ukifanikiwa kuwaswaga wote shamba lote hakuna Kitu.

Ndo maana nikaandika sometimes tunacheka sometimes tunanuniana
 
😂😂😂😂😂😂. James ndio nani? Weka na picha za huyo nguruwe wako james hapa kabisa tumwone..
😄😄😄 James hua una mikwara ya kiduanzi Sana.Nitakulipia mikopo yako yote kule EFTA lkn Kama unavyojua puru yako ni Halali yangu Kama ilivyo kawaida 😄😄
 
kwenye madini binafsi sikukubaliana na JPM kwenye baadhi ya mambo lakini TL hakuna lamaana aliloshauri zaidi ya makelele na baadaye nilihisi ana maslahi na Acacia kupitia watu fulani.

Ngoringoro its either Masai waondoke na Ngorongoro ibaki au Masai wabaki na Ngorongoro ipotee. Mwaka 1950 kulikuwa na Masai wangapi Ngorongoro na leo 2022 kuna Masai wangapi Ngorongoro...? Ukubwa wa Ngorongoro ni ule ule au umeongezeka..
Kiwango cha ujinga na upumbavu wenu una bei rahisi sana. Kwa vyo vyote na lolote bakini hivyo hivyo.
 
Kwani wanyama wao wanasemaje kuhusu uwepo wa masai ngorongoro?? .napendekeza iundwe tume ya kuongea na wanyama tujue kama nao wanafurahia majirani zao wamasai kuwepo kule ngorongoro.
 
Back
Top Bottom