Rais Samia ingia mtandaoni umsikilize Tundu Lissu kuhusu yanayoendelea Ngorongoro

Rais Samia ingia mtandaoni umsikilize Tundu Lissu kuhusu yanayoendelea Ngorongoro

Hii issue nadhani Lissu ameidiscuss kwa maandiko ya zamani na historia nyingi. Hajatoa ushahidi wa kisasa kuthibitisha hoja zake, jambo ambalo amepuuzia kila mazingira ya sasa hayawezi kuwa ya miaka ile aliyofanya tafiti.

Zipo issues nyingi ni so misleading nimeshangaa hifadhi alizotolea mifano za Amboseli (KE) na Kruger (SA) kwamba zina local communities within kitu ambacho sio kweli. Mathalani Amboseli kama hifadhi haina hao Maasai anaowataja bali wapo kwenye mtambaa wa hifadhi hiyo (ecosystem).

Nadharia za Lissu nyingi ni za historia wakati dunia imekwenda kasi sana.

Aliyetoa hoja za msingi zinazomake ni Lema kwa maana ya unintended consequences iwapo watalii wataflock kwenye hizo hifadhi. Hata hivyo kwa bahati ametoa solution inayomake sense kwa maana kuanzisha kuexclusivity ya huduma.

Nchi hii rasilimali zinatolewa na jamii zote, Masai hawawezi kuwa zaidi ya Jamii zote nchi hii. Sijui kama amefikiri sawa sawa iwapo jamii za migodoni wangesema madini yao pekeyao, wamakonde waseme gesi ni yao hawatoi, etc.

Hao Masai wafidiwe wachape mwendo
Hao wamasai sio waelewa wenzio uku serikali ikataka ardhi yake inachukua bila kuleta ubishi..wafidiwe watoke uko .. sasa wao wanajikuta ni Bora kuliko Tanzania kitu ambacho hakiwezekani.
 
😄😄😄 uko abroad ya wapi bi. James?😄😄 Mikopo itakuua mke wangu.
Supporter wa JPM.. Kichwa sifuri.. Akili sifuri. Ww una dharau watu wenye matatizo ya hela. Of course mimi sio huyo james wako.. lakini so what hata kama ningekuwa yeye? Kama ana matatizo ya hela WW NDIO NANI WA KUMCHEKA MWANADAMU NA KUMTUKANA MWANADAMU? Unasema eti uko abroad wapi unaona nadanganya.. Ili inisaidie nini? Ww unaona raha kudharau watu? Kwamba eti mimi ni maskini tu.. nina madeni.. Abroad sijakanyaga. Ww ndio inakupa raha kudharau wengine? UTAKUWA MASKINI NA UNA MAISHA YA SHIDA KUPATA MUDA WA KUPOST UJINGA UNAO-POST, KUCHEKA WENYE SHIDA, KUDHARAU WENGINE, KUTUKANA WENGINE. Mimi mambo yangu yanaenda vizuri sana. Na watu Kama Ww mnanipa motivation sana.. kuendelea kufanikiwa.. ili story yangu ifahamike duniani nzima siku moja. ILI MTU KAMA WW ASIPATE NAFASI YA KUNITUKANA KWA MAMBO YA UONGO KABISA. Na ili ni-motivate na kuwa sauti ya watu AMBAO WANADHARAULIWA NA KUBEZWA NA WATU KAMA WW.

KWA HIYO ASANTE KWA MOTIVATION. WW WA KUPUULIZA.. NA SATOH HIROSH.. NI WANA JF WAWILI WENYE WIVU SANAAA. NA HILO NALIWEKA KWA MOYO WANGU. NA KAMWE SITALISAHAU. NA ASANTENI KUNIPA UCHUNGU WA KUENDELEA KUPAMBANA NA KUTOBOA ZAIDI NA ZAIDI
 
kwenye madini binafsi sikukubaliana na JPM kwenye baadhi ya mambo lakini TL hakuna lamaana aliloshauri zaidi ya makelele na baadaye nilihisi ana maslahi na Acacia kupitia watu fulani.

Ngoringoro its either Masai waondoke na Ngorongoro ibaki au Masai wabaki na Ngorongoro ipotee. Mwaka 1950 kulikuwa na Masai wangapi Ngorongoro na leo 2022 kuna Masai wangapi Ngorongoro...? Ukubwa wa Ngorongoro ni ule ule au umeongezeka..
Don't judge people 'according to memory' (what you remember about them), but 'according to reality' (what is happening in reality).
 
Wamasai wamejaa nchi nzima na ngo'mbe zao. Yani vurugu mechi. Ila tunaishinao hivyo hivyo. Leo tunacheka kesho tumenuniana. Ila inaonekana wao sehemu moja tu ndo. ......wakiondoka huko ndo itakuwa kama. .labda wote watakufa.

Hakuna mtu asiejua umuhimu wa sekta yautalii katika nchi yetu.

Sawa la pale ni rahisi sana. It's not rocket science. Wanyama watabaki hapo hapo. Itolewe namba ya wamasai watakao baki hapo. Hilo jukumu wapewe wazee wakimasai wenyewe wachaguane nani wakubaki, nani wakuondoka. Na tunawapa mwezi mmoja tu.

Hao wamasai wasitake kutuchanganya vichwa. Sio kwamba labda wao tabaka Lao ni la juu kuliko watanzania wengine. Hii nchi yetu sote. Lazima wote tuwajibike.
Mengi uliyoongea ni sahihi, lakini unafikiria ni kila kabila linaweza kuishi pamoja na wanyama poli, na maisha yao yakaendelea?kama sungura akionekana tu kijijini , watu mnataka kuuana sembuse swala, nyumbu na nyati?!!
 
Wale wanaobisha Lissu ajafanya kazi serikalini ‘boolean search’ works even in google.

Wikipedia ishanipa list ya BBC ‘wildlife and nature’ documentary zao zote from the beginning.

So far from the list ‘Wild life diaries’ series hits the code. Hata kama sio hizo series ni swala la kuangalia miaka kabla ya misuko misuko yake na mambo ya madini ndio kipindi alikuwa serikalink and the truth will come out.

Mumuulize kwanza kama alishawahi fanya kazi serikalini muone kama ata kataa. Eventually ntaweka tu hiyo clip ya documentary one of this days.
 
..Tundu Lissu ni mwanaharakati, mwanahistoria, na mwanasheria.

..hapo chini ametoa somo na elimu kubwa sana kuhusu kinachoendelea Ngorongoro.

..nakiri kwamba nilikuwa sijui, na presentation ya Lissu imenifumbua macho.

..mnaweza kumsikiliza Tundu Lissu hapo chini akiuzungumzia mgogoro unaoendelea Ngorongoro.

cc Salary Slip
 
Ndio maana niliandika awali Lissu mnaemjua nyie kuhusu uelewa wake wa hayo maeneo sivyo; he is an expert in Ngororo ecosystem.

Mie nilikuwa nakuelezea maisha yake kabla ya uwakilishi wake wa sheria migodini, wewe unaniletea video zake wakati Lissu mwanasiasa maarufu CDM; vitu vingine ata kujibu inakuwa shida.

Before his legal practice qualifications. public environmental protests and political career; Lissu was a government employee working as a conversationists in Ngororo. His expertise was local history, anthropological factors za Ngororo and legal rights za wakazi.

Nimemuona mimi as an expert contributor kwenye documentary ya hayo maeneo anayajus kushinda mnavyodhani from various perspectives.

Maisha yake ya utaalamu yalianzia Ngorongoro ipo siku atawaambia ukweli alikuwa government expert kwenye hayo maeneo kabla ya uanarakati, legal career na siasa.
 
Hyo ni mb7ga, bora wamasai watoke uko kurko ngorongoro yote ikawa kijiji cha wamasai
 
sidhani kama Wamakonde kule Mtwara wangegoma kuondoka kwenye maeneo yao tungekuwa na bomba la gas leo... Kule kanda ya Ziwa watu wangegoma kuondoka kwenye maeneo yao sidhani kama madini yangechimbwa...

Kwani ni Lazima Masai wakae Ngorongoro? uwepo wao unaongeza Simba kuzaliana na nyasi kuota?...
Kwahio waondoke halafu mujenge hoteli ndio hesabu zenu sio😅???
 
Ndio maana niliandika awali Lissu mnaemjua nyie kuhusu uelewa wake wa hayo maeneo sivyo; he is an expert in Ngororo ecology.

Mie nilikuwa nakuelezea maisha yake kabla ya uwakilishi wake wa sheria migodini, wewe unaniletea video za siasa za wakati Liseu mwanasiasa maarufu CDM; vitu vingine ata kujibu inakuwa shida.

Before his Legal, environmentalist protesting and political career; Lissu was a government employee working as conversationists in Ngororo. His expertise was local history, anthropological factors za Ngororo and legal rights za wakati.

Nimemuona mimi as an expert contributor anaijua Ngorongoro kushinda mnavyodhani.

Maisha yake ya utaalamu yalianzia Ngorongoro ipo siku atawaambia ukweli alikuwa government expert kwenye hayo maeneo kabla ya uanarakati, legal career na siasa.
GENERAL INFORMATION:

Full Name: Tundu Antiphas Mughwai Lissu
Member Type: Elected Member
Constituent: Singida Mashariki
Political Party: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Office Location: Box 21746, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 22 2780859/+255 754 447323/+255 786 572 571
Office E-mail: tlissu@parliament.go.tz
Date of Birth: 20 January 1968

EDUCATION

Mahambe Primary School:
CPEE (1976 - 1982) - Primary School

Galanos Secondary School:
ACSEE (1987 - 1989) - Secondary School

Ilboru Secondary School:
CSEE (1983 - 1986) - Secondary School.

University of Dar Es Salaam:
LLB (1991 - 1994) Bachelor's Degree

University of Warwick, UK:
LLM (1995 - 1996) - Masters Degree

EMPLOYMENT HISTORY
Member of The Parliament of Tanzania:Singida West Constituency (2010 - 2015)

Lawyers' Environmental Action Team (LEAT):Director of Researcher (2003 - 2008)

The World Resources Institute (WRI), USA:Researcher (1999 - 2002)

Lawyers' Environmental Action Team (LEAT) Researcher (1998 - 1999)

D'Souza Chambers:Advocate (1994 - 1997)

Bondeni Secondary School:Teacher (1990 - 1991)

POLITICAL EXPERIENCE
CHADEMA:Director of Law (2004 - To Date)

NCCR-Mageuzi:Member of Parliament Candidate (1995)

Ameficha career yake ya hifadhi ya Ngororo as a government employee.

With that CV you have narrowed my search miaka ya kutafuta kipindi.
 
kwenye madini binafsi sikukubaliana na JPM kwenye baadhi ya mambo lakini TL hakuna lamaana aliloshauri zaidi ya makelele na baadaye nilihisi ana maslahi na Acacia kupitia watu fulani.

Ngoringoro its either Masai waondoke na Ngorongoro ibaki au Masai wabaki na Ngorongoro ipotee. Mwaka 1950 kulikuwa na Masai wangapi Ngorongoro na leo 2022 kuna Masai wangapi Ngorongoro...? Ukubwa wa Ngorongoro ni ule ule au umeongezeka..
Mpuuzi wewe
 
Ameficha career yake ya hifadhi ya Ngororo as a government employee.

..labda alifanya hiyo kazi, " uzalendo " ukamshinda, akabwaga manyanga.

..mitizamo yake iko tofauti sana na sera za serikali kuhusu masuala ya uhifadhi na haki za wenyeji wanaoishi jirani na hifadhi za wanyama pori.

NB:

..Lissu alimaliza Udsm 1994. Na baada ya hapo akaenda masomoni Uingereza. Mwaka 1995 alikuwa ameshajiunga na Nccr na aligombea ubunge akashindwa. Ndio maana napata mashaka sana kwamba aliwahi kufanya kazi Ngorongoro.
 
tuseme ukweli, kwa wale ambao tumefika ngorongoro, huw akunakuwa na yale maboma yamezunguka nyumba, hivi kati ya yale maboma yamezungushwa, mojawapo ya bomba huwa linakuwa ni la choo? vijumba unavikuta porini ni kijumba kimoja kimoja tu, tunategemea kuwe na nyumba ya kuishi na walau kajijumba ka choo pembeni, lakini unakuta kuan boma moja tu au mawili tu au matatu na yote hayo ndani wanakaa wake za mtu mmoja na watoto. sasa unajiuliza, vyoo wanajenga wapi? au ndo kutembea na jemba. huko machungani wanajisaidiaga wapi? au ndo kusambaza uchafu kama pundamilia tu? ndo mnataka msambaze magonjwa kwenye mbuga huko tukose watalii kwasababu yenu? na sisi hatutaki kuwafanya ninyi kivutio cha utalii, tunawajali kama wanadamu sawa na sisi.
Vyoo huwa ni kwa ajili ya wanawake na watoto,wanaume ni porini tu na ni mbolea tosha kwa mimea kutokanana aina ya chakula anachokula.😝
 
1644377021384.png

1644377072767.png

1644377152715.png

.........
 
..labda alifanya hiyo kazi, " uzalendo " ukamshinda, akabwaga manyanga.

..mitizamo yake iko tofauti sana na sera za serikali kuhusu masuala ya uhifadhi na haki za wenyeji wanaoishi jirani na hifadhi za wanyama pori.

NB:

..Lissu alimaliza Udsm 1994. Na baada ya hapo akaenda masomoni Uingereza. Mwaka 1995 alikuwa ameshajiunga na Nccr na aligombea ubunge akashindwa. Ndio maana napata mashaka sana kwamba aliwahi kufanya kazi Ngorongoro.
Lissu katokea familia ya kawaida, hivi unajua serikali ya Tanzania watu inao wasomesha kutoka familia za kawaida nje ya nchi especially vipanga wakirudi wanaishia wapi.

If anything you are confirming my suspicions, muhimu hapo ni depth ya mwanachama and their involvement hadi wahusika kuweza kuachiwa kuwa huru; if there is such thing as total independence.

As yet the burden of proof is upon me; and I can testify by Sunday nitaweka hizo evidence Lissu at one point was NCA government expert ninao ushahidi huo I just have to prove it.
 
Wamasai wamejaa nchi nzima na ngo'mbe zao. Yani vurugu mechi. Ila tunaishinao hivyo hivyo. Leo tunacheka kesho tumenuniana. Ila inaonekana wao sehemu moja tu ndo. ......wakiondoka huko ndo itakuwa kama. .labda wote watakufa.

Hakuna mtu asiejua umuhimu wa sekta yautalii katika nchi yetu.

Sawa la pale ni rahisi sana. It's not rocket science. Wanyama watabaki hapo hapo. Itolewe namba ya wamasai watakao baki hapo. Hilo jukumu wapewe wazee wakimasai wenyewe wachaguane nani wakubaki, nani wakuondoka. Na tunawapa mwezi mmoja tu.

Hao wamasai wasitake kutuchanganya vichwa. Sio kwamba labda wao tabaka Lao ni la juu kuliko watanzania wengine. Hii nchi yetu sote. Lazima wote tuwajibike.
Nyerere aliwashauri Wachagga miaka ya 60" wasambae kuulinda mt knjaro watu hawakuelewa sasa tunaona faida
 
Hivi unadhani nazungumzia recent history.
Video ninazoongelea ni production za BBC archives; documentaries za wildlife and nature production. They have nothing to do with Tanzania Politics na Lissu alikuwa kijana wa late 20’s or early 30’s at the time.

The program itself the targeted audience ni watu ambao wanataka kujifunza about global environment, nature world and cultures of other societies in the world.

Lissu was an expert in Ngororo mambo mengine kuzungumza shida in western thinking.
 
Lissu katokea familia ya kawaida, hivi unajua serikali ya Tanzania watu inao wasomesha kutoka familia za kawaida nje ya nchi especially vipanga wanaishia wapi.

If anything you are confirming my suspicions muhimu hapo ni depth ya mwanachama and their involvement hadi kuachiwa kuwa huru.

As yet the burden of proof is upon me; and m I testify by Sunday nitaweka hizo evidence Lissu at one point was NCA government expert ninao ushahidi huo I just have to prove it.

..naona kama unatupotezea muda wa kufaidika na elimu aliyoitoa Tundu Lissu kuhusu suala la Ngorongoro.

..nadhani unataka kututoa kwenye reli, tuanze kumjadili Lissu binafsi badala ya hoja alizotoa.

..naona kama unatupotezea muda wa kufaidika na elimu aliyoitoa Tundu Lissu kuhusu suala la Ngorongoro.

..nadhani unataka kututoa kwenye reli, tuanze kumjadili Lissu binafsi badala ya hoja alizotoa.

Wewe ndio unayetaka kuishi lala land na kujitoa ukweli for the sake of arguing.

Binafsi sikatai uelewa wa Lissu kuhusu Ngorongoro; politically, anthropological, legal, cultural and so forth because he is an expert who has worked and done extensive research on the region

Kitu ambacho umetuletea video na kukiri Lissu anayajua hayo maeneo; yet you are delusional kukubali ukweli part of his knowledge contributon is work experience kutoka serikalini.

Hizi ndio sababu ni chizi tu ndio anaoweza support CDM wakati wafuasi wake awapendi kusikia ukweli ata ukiwekwa mbele yao.

I am still in the past so ntamalizia na viva Magufuli
 
Back
Top Bottom