king kan
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,639
- 2,066
Hii issue nadhani Lissu ameidiscuss kwa maandiko ya zamani na historia nyingi. Hajatoa ushahidi wa kisasa kuthibitisha hoja zake, jambo ambalo amepuuzia kila mazingira ya sasa hayawezi kuwa ya miaka ile aliyofanya tafiti.
Zipo issues nyingi ni so misleading nimeshangaa hifadhi alizotolea mifano za Amboseli (KE) na Kruger (SA) kwamba zina local communities within kitu ambacho sio kweli. Mathalani Amboseli kama hifadhi haina hao Maasai anaowataja bali wapo kwenye mtambaa wa hifadhi hiyo (ecosystem).
Nadharia za Lissu nyingi ni za historia wakati dunia imekwenda kasi sana.
Aliyetoa hoja za msingi zinazomake ni Lema kwa maana ya unintended consequences iwapo watalii wataflock kwenye hizo hifadhi. Hata hivyo kwa bahati ametoa solution inayomake sense kwa maana kuanzisha kuexclusivity ya huduma.
Nchi hii rasilimali zinatolewa na jamii zote, Masai hawawezi kuwa zaidi ya Jamii zote nchi hii. Sijui kama amefikiri sawa sawa iwapo jamii za migodoni wangesema madini yao pekeyao, wamakonde waseme gesi ni yao hawatoi, etc.
Hao Masai wafidiwe wachape mwendo