Rais Samia, jaribio lolote la kuipa Zanzibar mamlaka kamili ndilo litakuwa anguko lako

Rais Samia, jaribio lolote la kuipa Zanzibar mamlaka kamili ndilo litakuwa anguko lako

Chuki humtafuna nanayeihifadhi..pole sana.

Muungano utadumu maisha..atakaye jaribu kuuvunja atakuwa ni muhaini unajua adhabu ya wahaini?.

#MaendeleoHayanaChama

Hizi zilipendwa , Hivi unaishi sayari ipi ??
 
Nje ya Muungano, hakuna Zanzibar isipokuwa kuna Unguja na Pemba. Kama wanadhani sumu inaonjwa, wajaribu waone. Haitaisha miaka mitano kabla Tanganyika haijapokea wakimbizi kutoka upande huo!

Kwani hata iwepo Na Tumbatu Na kisiwa panza nyinyi waTanganyika inawauma nini ? Shughulikeni Na nchi yenu, pilipili usioila yakuwashia nini,?
 
Kwani hata iwepo Na Tumbatu Na kisiwa panza nyinyi waTanganyika inawauma nini ? Shughulikeni Na nchi yenu, pilipili usioila yakuwashia nini,?
Pole sana..jua muungano hauombwi kwenye makaratasi..endeleeni kupigana na keyboard ila muungano tutaulinda.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.

Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!

Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.

Kwenu Tiss.
Una akili fupi mno, kwani ikiwa na mamlaka kamili itakupunguzia nini!? Kabla ya muungano ilikuwa nchi huru yenye mamlaka kamili
 
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.

Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!

Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.

Kwenu Tiss.
Duuu kumbe Zanzibar sio nchi huru ni koloni la Tanganyika yaani leo ndio nimejua aisee
 
Hili ni swali ambalo Tanganyika hawajiulizi! ni kipi wanapata kwa uwepo wa Zanzibar?
Sina tatizo na muungano, nina tatizo na muundo wake

Juzi akiwa Oman Rais Samia alisaini mkataba wa mashirikiano ya mafuta na gesi kati ya shirika la Oman (OPAL) na Taasisi za Tanzania (TOGLO) na Zanzibar (ZOGLO)

Jiulizeni, hapa Tanzania ni nani? Kama Tanzania ni Tanganyika na Zanzibar kwanini kuna Zanzibar Pekee?
Pili, Rais wa JMT ni Samia, hawa Zoglo wanamwakilisha Rais yupi?

Gesi ya Mtwara inawafaidisha Wazanzibar leo hii, kesho wakiwa na yao hao ZOGLO hawana habari na Watanganyika

Ile 4.5% wanayopewa Wazanzibar ni kutoka rasilimali kama madini, gesi na kodi. Tanganyika inapata nini?

JokaKuu Pascal Mayalla Tindo
Mi kwa mawazo yangu muungano huu uvunjwe. Uje mwingine. Utakaotunufaisha wote. Haiwezekani kuwa na kitu kinacholalamikiwa na kila mtu halafu kipo kwa ajili ya hao hao watu.
Najua kuna wengine wana hofu na usalama wa nchi mbili zitakazo tokea. Kwamba kunaweza kukawa na uadui utakaochagizwa na maadui wa nje. Wengine wana hofu na mali, undugu, ujirani na utamaduni. Haya yote yawekwe ktk majadiliano kabla ya kuuvunja muungano uliopo ili kusiwe na loop hole ya kuingiza hila.

Sasa hivi bara nao hawataki muungano. Zanzibar wao tangu tunazaliwa wanataka kuvua "koti".
 
Mzee wa Msoga ndiye chanzo cha matatizo sugu kwenye hii nchi.

Imagine alimpendekeza Bwana Chato kuwa Rais kisha pia akampendekeza hawara wake kuwa makamu wa Rais wa Bwana Chato ambae sasa hivi anaharibu nchi ya Tajikistan.

Kwa hiyo tukapigwa mara mbili.That guy is a cursed fool!

163178281631782897.jpg
 
Pulchra Animo

Huu upotoshaji wa gharama ni kwa watu wasioweza kufanya hesabu na kutumia vichwa

Labda nikukumbushe kuwa Baraza la Wawakilishi (BLW) Zanzibar lina Wajumbe 50 tu
Wabunge kutoka Zanzibar pale Dodoma ni zaidi ya 100

Wabunge 100 wanalipwa kwa kodi za Watanganyika ndiyo maana Zanzibar hawaoni tabu yoyote kuwapeleka Dodoma wakasikilize mambo yasiyowahusu.

Mfano, wizara za muungano zinajulikana kwanini Wabunge wale waendelee kujadili wizara zisizo wahusu?
Wizara ya maji, mifugo, Tamisemi, afya , elimu, mawasiliano n.k. inawahusu nini Wazanzibar?

Wapo Dodoma kama sehemu ya ajira ni si vinginevyo na mzigo wa kuwaweka Dodoma anaubeba mlipa kodi wa Tanganyika. Hili linawaumiza sana Walipa kodi wanaogharamia kila kitu katika muungano

Kukiwa na serikali 3 Tanganyika kwa mujibu wa rasimu ya Warioba Tanganyika itapeleka Wabunge 45 katika Bunge la shirikisho watakaohudumia na Tanganyika. Hii ina maana mzigo wa sasa wa Wabunge zaidi ya 100 wa Zanzibar wasio na shughuli pale Dodoma utapungua

Pulchra, bajeti ya SMZ ni 2.5Trilioni ile ya Tanzania au Tanganyika ni 41 Trilioni ! umeeelewa japo kidogo
 
Kama hujui, sasa tija ya kujaribu kulinganisha vitu usivyovijua vizuri itatoka wapi?
Sijui nini sasa, si nimekuambia kuwa ni nchi inayoundwa na visiwa ? Kwa nini yenyewe isambaratike ila Zanzibar isambaratike?

Wewe uliyeleta hoja ya Zanzibar itasambaratika ndio unatakiwa ueleze kwani Zanzibar ina utofauti na nchi nyingine za visiwa hadi isambaratike huku nyingine hazisambaratiki
 
Nje ya Muungano, hakuna Zanzibar isipokuwa kuna Unguja na Pemba. Kama wanadhani sumu inaonjwa, wajaribu waone. Haitaisha miaka mitano kabla Tanganyika haijapokea wakimbizi kutoka upande huo!
Unguja na Pemba ziko siku zote na hatukuona wakimbizi. Wakimbizi wa Zanzibar walianza 1964 baada ya uvamizi wenu. Kabla ya 1964 uliwahi kusikia mkimbizi wa Zanzibar?
 
Laanatullahi Nyerere aliivamia Zanzibar Na kuuwa maelfu ya watu.na ndio akawa anaogopa kuvunjika kwa uvamizi aliouita muungano kwani angalishitakiwa
Tuvunje muungano wapemba wapemba na waunguja mrudi kwenu mje kwa passport.
 
Nje ya Muungano, hakuna Zanzibar isipokuwa kuna Unguja na Pemba. Kama wanadhani sumu inaonjwa, wajaribu waone. Haitaisha miaka mitano kabla Tanganyika haijapokea wakimbizi kutoka upande huo!
Nitakuwa guard...nikuwarudisha tu au kuwapa ramani ya kuelekea Oman...
Hawana fadhira. Tukivunja muungano wapemba watapigana na waunguja na hili litatokea soon ktk mgawanyo wa madaraka. Znz uses union gvt as hiding bush to escape from fighting. So, tuuvunje, wauane.
 
Ni kweli kwani tumevamiwa , majeshi, polisi, usalama wa Tanganyika wapo kila mtaa
Anaongelea mipaka. Use eyes.
Tunavunja muungano. Machogo yarudi bara na makomwe yaende Zanzibar. Enough should be enough. Tutaheshimiana tu. Mazereu na kelele zenu ni nyingi wakati Tanganyika inagharamia vitu vingi huko mchamba wima
 
Yaani wewe mawazo yako ni ya kijima kabisa.
Bado unautaka huu Muungano haramu?
Kwanini Zanzibar wasiwe mamlaka kamili?
Eti sababu iendelee kuwa koloni la Tanganyika kwasababu za kiusalama, hivi una akili timamu wewe?
 
Tuvunje muungano wapemba wapemba na waunguja mrudi kwenu mje kwa passport.
Kwani wapemba huko nyuma hata wakikanyaga Tanganyika! Ni madhara ya Uvamizi ndiyo yaliyolets balaa hili la watu kuondoka kwao, by THE way haya majeshi yenu Na usalama wa taifa waliojaa kila mtaa waondosheni haraka
 
Back
Top Bottom