Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
We kabila gani? Unadhani Uislamu ni wa maana kuliko kabila lako? Au unakuweka karibu na waarabu? Signs of fallacy!
La maana ni kabila lako la Roma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kabila gani? Unadhani Uislamu ni wa maana kuliko kabila lako? Au unakuweka karibu na waarabu? Signs of fallacy!
Chuki humtafuna nanayeihifadhi..pole sana.
Muungano utadumu maisha..atakaye jaribu kuuvunja atakuwa ni muhaini unajua adhabu ya wahaini?.
#MaendeleoHayanaChama
Nje ya Muungano, hakuna Zanzibar isipokuwa kuna Unguja na Pemba. Kama wanadhani sumu inaonjwa, wajaribu waone. Haitaisha miaka mitano kabla Tanganyika haijapokea wakimbizi kutoka upande huo!
Pole sana..jua muungano hauombwi kwenye makaratasi..endeleeni kupigana na keyboard ila muungano tutaulinda.Kwani hata iwepo Na Tumbatu Na kisiwa panza nyinyi waTanganyika inawauma nini ? Shughulikeni Na nchi yenu, pilipili usioila yakuwashia nini,?
Una akili fupi mno, kwani ikiwa na mamlaka kamili itakupunguzia nini!? Kabla ya muungano ilikuwa nchi huru yenye mamlaka kamiliKuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Endeleeni kuulinda kwenye keyboardPole sana..jua muungano hauombwi kwenye makaratasi..endeleeni kupigana na keyboard ila muungano tutaulinda.
#MaendeleoHayanaChama
Duuu kumbe Zanzibar sio nchi huru ni koloni la Tanganyika yaani leo ndio nimejua aiseeKuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Mi kwa mawazo yangu muungano huu uvunjwe. Uje mwingine. Utakaotunufaisha wote. Haiwezekani kuwa na kitu kinacholalamikiwa na kila mtu halafu kipo kwa ajili ya hao hao watu.Hili ni swali ambalo Tanganyika hawajiulizi! ni kipi wanapata kwa uwepo wa Zanzibar?
Sina tatizo na muungano, nina tatizo na muundo wake
Juzi akiwa Oman Rais Samia alisaini mkataba wa mashirikiano ya mafuta na gesi kati ya shirika la Oman (OPAL) na Taasisi za Tanzania (TOGLO) na Zanzibar (ZOGLO)
Jiulizeni, hapa Tanzania ni nani? Kama Tanzania ni Tanganyika na Zanzibar kwanini kuna Zanzibar Pekee?
Pili, Rais wa JMT ni Samia, hawa Zoglo wanamwakilisha Rais yupi?
Gesi ya Mtwara inawafaidisha Wazanzibar leo hii, kesho wakiwa na yao hao ZOGLO hawana habari na Watanganyika
Ile 4.5% wanayopewa Wazanzibar ni kutoka rasilimali kama madini, gesi na kodi. Tanganyika inapata nini?
JokaKuu Pascal Mayalla Tindo
Sijui nini sasa, si nimekuambia kuwa ni nchi inayoundwa na visiwa ? Kwa nini yenyewe isambaratike ila Zanzibar isambaratike?Kama hujui, sasa tija ya kujaribu kulinganisha vitu usivyovijua vizuri itatoka wapi?
Unguja na Pemba ziko siku zote na hatukuona wakimbizi. Wakimbizi wa Zanzibar walianza 1964 baada ya uvamizi wenu. Kabla ya 1964 uliwahi kusikia mkimbizi wa Zanzibar?Nje ya Muungano, hakuna Zanzibar isipokuwa kuna Unguja na Pemba. Kama wanadhani sumu inaonjwa, wajaribu waone. Haitaisha miaka mitano kabla Tanganyika haijapokea wakimbizi kutoka upande huo!
Tuvunje muungano wapemba wapemba na waunguja mrudi kwenu mje kwa passport.Laanatullahi Nyerere aliivamia Zanzibar Na kuuwa maelfu ya watu.na ndio akawa anaogopa kuvunjika kwa uvamizi aliouita muungano kwani angalishitakiwa
Nitakuwa guard...nikuwarudisha tu au kuwapa ramani ya kuelekea Oman...Nje ya Muungano, hakuna Zanzibar isipokuwa kuna Unguja na Pemba. Kama wanadhani sumu inaonjwa, wajaribu waone. Haitaisha miaka mitano kabla Tanganyika haijapokea wakimbizi kutoka upande huo!
Anaongelea mipaka. Use eyes.Ni kweli kwani tumevamiwa , majeshi, polisi, usalama wa Tanganyika wapo kila mtaa
Kwani wapemba huko nyuma hata wakikanyaga Tanganyika! Ni madhara ya Uvamizi ndiyo yaliyolets balaa hili la watu kuondoka kwao, by THE way haya majeshi yenu Na usalama wa taifa waliojaa kila mtaa waondosheni harakaTuvunje muungano wapemba wapemba na waunguja mrudi kwenu mje kwa passport.