Whatever the case!Kama ule mzoga wa mzazi wako
Kumbe nahangaika na malaya Marytina!!Whatever the case!
Ni mapenzi ya MUNGU kuwahurumia wanadamu....MUNGU ni mwema na mwaminifu, huwasikia wamlilia na wanaomshukuru!
Twamshukuru sana MUNGU kwa kuwa muaminifu !
Na nyie ombeni SAMIA akufe kama MUNGU wenu anasikia
Lazima tukubali. Mifumo yetu ilikuwa hovyo kabisa. Iliwezekana vipi mtu mgonjwa wa akili anafikia hatua kuwa kiongozi mkuu, tena wa watu walio wazima.Walifuata sheria. Usipofuate sheria ndio maana panakuwa na upendeleo mtu kula kwa urefu wa kamba yake.
Wewe fala tu vyeti feki vyako vinakusumbua. Sheria hiyo ipo mpaka sasa hivi na vyakula vinaendelea kuchomwa mpaka sasa hivi lakini kwa kuwa huna akili za kukutosha ndio maana huelewi kitu. Tafuta sheria husika usome ingawaje wewe ni mvivu wa kusoma unaweza usijue kitu.Lazima tukubali. Mifumo yetu ilikuwa hovyo kabisa. Iliwezekana vipi mtu mgonjwa wa akili anafikia hatua kuwa kiongozi mkuu, tena wa watu walio wazima.
Hakuna sheria yoyote mahali popote inaposema ukiingiza chakula au mifugo bila kufuata sherua basi chakula hicho/mifugo hiyo itachomwa moto. Utaratibu ni kuwa hutaruhusiwa kuingiza, watawekwa quaranteene, watachunguzwa, kama wana magonjwa watateketezwa, kama hawana magonjwa, aliyeingiza ataadhibiwa kwa kulipishwa fine ya kukiuka sheria na kulipia gharama za uhifadhi na uchunguzi. Akishindwa watataifishwa.
Yale maamuzi ya kuchoma moto yalikuwa ni amri ya yule aliyekuwa kichaa wetu.
Sio EAC Sasa,mifigo wetu wangapi wanavuka mpaka?hasa ng'ombe huwa wanachinjwa?
Maana Jiwe alitaifisha Hadi mifugo
Kwa hiyo ikivushwa kimagendo unaichoma?
Waziri husika wanyakati hizo alishalitolea ufafanuzi kuna taratibu za kuvusha mifugo ya kibiashara.
Sio kuokota perspective za tweeter ambazo tatizo wanalikuza kushinda uhalisia, hilo swala alikuleta mgogoro wa kibiashara; if anything Kenya ndio mahodari wa kufunga mipaka mara zote kwa uchokozi.
Hayo ya kukamata mifugo nadhani umeona madhara yake kuwaachia n’gombe kuingia kwenye hifadhi kilichotokea Ngorongoro, Ruaha na Mbeya.
Sasa we endelea jiaminisha kukosekana kwa maji ni kwa ajili ya miti iliyokatwa kujenga bwawa la Nyerere badala ya kuona athari zilizofanywa na mifugo huko kwenye vyanzo.
Huyo mama ametoa hela nyingi sana kama ana tamaa ya uraisi angetaka kuona impact ya hela yake ndani ya jamii mawaziri wake awajamtendea haki na hapo ndipo asipoeleweka kwenye jamii.
Vinginevyo kauli zake za kuponda uongozi uliopita zinazua mijadala kwa watu wachache tu lakini sio vitu wanavyotaka kusikia watanzania wakawaida.
Ila yeye akikosolewa kidogo tu anaita wenzake maadui.Binadamu ubinafsi umetujaa, kila baya tunataka liwe la mwingine, Magufuli hayupo so ana uhuru wa kuongea kila kitu na hakuna wa kumnyamazisha.
Umemsikiliza waziri hapo, muingizaji hana receipt ya manunuzi wala cheti cha afya kutoka mamlaka ya Kenya kama sheria inavyoagiza. .Kwa hiyo ikivushwa kimagendo unaichoma?
Wewe mwenye akili ndogo unafikiri kujipendekeza kwa washindani wetu wa kibishara ni njia sahihi.Jiwe alikuwa mhuni ndio maana aligombana na majirani wote kasoro Museven na Chakwera wengine wote walimuona Ni idiot
Ndiyo sheria iliyotungwa na bunge inavyosema.Kwa hiyo ikivushwa kimagendo unaichoma?
Sheria hutekelwzwa kwa busara ukikosa busera unaharibu Kama yule Rais wenu asiye na busara akichoka vifaranga wakati Hakuna ugonjwa,alivunja jengo la Tanesco bila sababu ya msingi.Nd
Ndiyo sheria iliyotungwa na bunge inavyosema.
Ukijipendekeza ukapata maslahi yako Kuna Nini?Wewe mwenye akili ndogo unafikiri kujipendekeza kwa washindani wetu wa kibishara ni njia sahihi.
Magufuli hakupendwa na wote hao kwakua hakuruhusu waichezee Tanzania.
Unaelewa maana ya Magendo?Umemsikiliza waziri hapo, muingizaji hana receipt ya manunuzi wala cheti cha afya kutoka mamlaka ya Kenya kama sheria inavyoagiza. .
Kwa kuzingatia serikali aina biashara ya kufuga, wala poultry farm ya kuwapeleka. Sasa baada ya kutaifishwa; we unadhani hatma ya ivyo vifaranga ilikuwa nini?
Au we unadhani vituo vya polisi vina sehemu ya kuweka maboksi ya vifaranga.
HahahahaTulisema same words tukashambuliwa sana
Sheria inatakiwa kutekelezwa kama ilivyotungwa ukianza tu kuweka mambo yako ndio inakuwa kula kwa urefu wa kamba yako. Kuna mwingine utampendelea mru kwa kuwa unajuana naye au amepata kitu kidogo kutoka kwake na mwingine sheria itatumika kama ilivyo. Na nyinyi mafisadi ndio mnapenda sana sheria isitumike kama ilivyotungwa kwa faida zenu.Sheria hutekelwzwa kwa busara ukikosa busera unaharibu Kama yule Rais wenu asiye na busara akichoka vifaranga wakati Hakuna ugonjwa,alivunja jengo la Tanesco bila sababu ya msingi.
Ebu elezea maana yake we ndio umeileta hiyo term.Unaelewa maana ya Magendo?
Sheria zote zina exceptions, miongozo, tafsiri inayoleta maana tofauti kutokana na mazingira ya tukio la uvunjwaji wa sheria husika n.kSheria inatakiwa kutekelezwa kama ilivyotungwa ukianza tu kuweka mambo yako ndio inakuwa kula kwa urefu wa kamba yako. Kuna mwingine utampendelea mru kwa kuwa unajuana naye au amepata kitu kidogo kutoka kwake na mwingine sheria itatumika kama ilivyo. Na nyinyi mafisadi ndio mnapenda sana sheria isitumike kama ilivyotungwa kwa faida zenu.