Lazima tukubali. Mifumo yetu ilikuwa hovyo kabisa. Iliwezekana vipi mtu mgonjwa wa akili anafikia hatua kuwa kiongozi mkuu, tena wa watu walio wazima.
Hakuna sheria yoyote mahali popote inaposema ukiingiza chakula au mifugo bila kufuata sherua basi chakula hicho/mifugo hiyo itachomwa moto. Utaratibu ni kuwa hutaruhusiwa kuingiza, watawekwa quaranteene, watachunguzwa, kama wana magonjwa watateketezwa, kama hawana magonjwa, aliyeingiza ataadhibiwa kwa kulipishwa fine ya kukiuka sheria na kulipia gharama za uhifadhi na uchunguzi. Akishindwa watataifishwa.
Yale maamuzi ya kuchoma moto yalikuwa ni amri ya yule aliyekuwa kichaa wetu.