Rais Samia: Kabla sijaingia, biashara na Kenya ilikuwa ngumu. Asema kuchoma vifaranga wa Kenya yalikuwa makosa

Rais Samia: Kabla sijaingia, biashara na Kenya ilikuwa ngumu. Asema kuchoma vifaranga wa Kenya yalikuwa makosa

Kama ule mzoga wa mzazi wako
Whatever the case!
Ni mapenzi ya MUNGU kuwahurumia wanadamu....MUNGU ni mwema na mwaminifu, huwasikia wamlilia na wanaomshukuru!
Twamshukuru sana MUNGU kwa kuwa muaminifu!

Na nyie ombeni SAMIA akufe kama MUNGU wenu anasikia
 
Whatever the case!
Ni mapenzi ya MUNGU kuwahurumia wanadamu....MUNGU ni mwema na mwaminifu, huwasikia wamlilia na wanaomshukuru!
Twamshukuru sana MUNGU kwa kuwa muaminifu !

Na nyie ombeni SAMIA akufe kama MUNGU wenu anasikia
Kumbe nahangaika na malaya Marytina!!
 
Walifuata sheria. Usipofuate sheria ndio maana panakuwa na upendeleo mtu kula kwa urefu wa kamba yake.
Lazima tukubali. Mifumo yetu ilikuwa hovyo kabisa. Iliwezekana vipi mtu mgonjwa wa akili anafikia hatua kuwa kiongozi mkuu, tena wa watu walio wazima.

Hakuna sheria yoyote mahali popote inaposema ukiingiza chakula au mifugo bila kufuata sherua basi chakula hicho/mifugo hiyo itachomwa moto. Utaratibu ni kuwa hutaruhusiwa kuingiza, watawekwa quaranteene, watachunguzwa, kama wana magonjwa watateketezwa, kama hawana magonjwa, aliyeingiza ataadhibiwa kwa kulipishwa fine ya kukiuka sheria na kulipia gharama za uhifadhi na uchunguzi. Akishindwa watataifishwa.

Yale maamuzi ya kuchoma moto yalikuwa ni amri ya yule aliyekuwa kichaa wetu.
 
Wewe fala tu vyeti feki vyako vinakusumbua. Sheria hiyo ipo mpaka sasa hivi na vyakula vinaendelea kuchomwa mpaka sasa hivi lakini kwa kuwa huna akili za kukutosha ndio maana huelewi kitu. Tafuta sheria husika usome ingawaje wewe ni mvivu wa kusoma unaweza usijue kitu.
 
Sio EAC Sasa,mifigo wetu wangapi wanavuka mpaka?hasa ng'ombe huwa wanachinjwa?

Maana Jiwe alitaifisha Hadi mifugo

Waziri husika wanyakati hizo alishalitolea ufafanuzi kuna taratibu za kuvusha mifugo ya kibiashara.

Sio kuokota perspective za tweeter ambazo tatizo wanalikuza kushinda uhalisia, hilo swala alikuleta mgogoro wa kibiashara; if anything Kenya ndio mahodari wa kufunga mipaka mara zote kwa uchokozi.

Hayo ya kukamata mifugo nadhani umeona madhara yake kuwaachia n’gombe kuingia kwenye hifadhi kilichotokea Ngorongoro, Ruaha na Mbeya.

Sasa we endelea jiaminisha kukosekana kwa maji ni kwa ajili ya miti iliyokatwa kujenga bwawa la Nyerere badala ya kuona athari zilizofanywa na mifugo huko kwenye vyanzo.

Huyo mama ametoa hela nyingi sana kama ana tamaa ya uraisi angetaka kuona impact ya hela yake ndani ya jamii mawaziri wake awajamtendea haki na hapo ndipo asipoeleweka kwenye jamii.

Vinginevyo kauli zake za kuponda uongozi uliopita zinazua mijadala kwa watu wachache tu lakini sio vitu wanavyotaka kusikia watanzania wakawaida.
 
Kwa hiyo ikivushwa kimagendo unaichoma?
 
Mkuu hakika umefafanua vizuri sana. Rais Samia kuhusu Kenya hata mi nampiga sana tena nampinga mno. Kenya ni washindani wetu kibiashara. Kenya wametufanyia mambo mabaya mengi mno kupitia mgogo wa mabeberu. Mbona Rostam walimdhuia kujenga kiwanda cha gas???? Yaani Rais Samia kwa jicho jingine hii nchi anataka kuiuza kupitia mikopo na masharti nafuu ya mahusiano kibiashara yanayoifanya Tanzania iwe tegemezi ya kuagiza kila kitu toka nje ya nchi. Yaani anaturejesha enzi za Mzee JK.
 
Kwa hiyo ikivushwa kimagendo unaichoma?
Umemsikiliza waziri hapo, muingizaji hana receipt ya manunuzi wala cheti cha afya kutoka mamlaka ya Kenya kama sheria inavyoagiza. .

Kwa kuzingatia serikali aina biashara ya kufuga, wala poultry farm ya kuwapeleka. Sasa baada ya kutaifishwa; we unadhani hatma ya ivyo vifaranga ilikuwa nini?

Au we unadhani vituo vya polisi vina sehemu ya kuweka maboksi ya vifaranga.
 
Jiwe alikuwa mhuni ndio maana aligombana na majirani wote kasoro Museven na Chakwera wengine wote walimuona Ni idiot
Wewe mwenye akili ndogo unafikiri kujipendekeza kwa washindani wetu wa kibishara ni njia sahihi.

Magufuli hakupendwa na wote hao kwakua hakuruhusu waichezee Tanzania.
 
Wewe mwenye akili ndogo unafikiri kujipendekeza kwa washindani wetu wa kibishara ni njia sahihi.

Magufuli hakupendwa na wote hao kwakua hakuruhusu waichezee Tanzania.
Ukijipendekeza ukapata maslahi yako Kuna Nini?

Maskini usipojipendekeza kwa tajiri utakuta unanuka umaskini
 
Umemsikiliza waziri hapo, muingizaji hana receipt ya manunuzi wala cheti cha afya kutoka mamlaka ya Kenya kama sheria inavyoagiza. .

Kwa kuzingatia serikali aina biashara ya kufuga, wala poultry farm ya kuwapeleka. Sasa baada ya kutaifishwa; we unadhani hatma ya ivyo vifaranga ilikuwa nini?

Au we unadhani vituo vya polisi vina sehemu ya kuweka maboksi ya vifaranga.
Unaelewa maana ya Magendo?
 
Sheria hutekelwzwa kwa busara ukikosa busera unaharibu Kama yule Rais wenu asiye na busara akichoka vifaranga wakati Hakuna ugonjwa,alivunja jengo la Tanesco bila sababu ya msingi.
Sheria inatakiwa kutekelezwa kama ilivyotungwa ukianza tu kuweka mambo yako ndio inakuwa kula kwa urefu wa kamba yako. Kuna mwingine utampendelea mru kwa kuwa unajuana naye au amepata kitu kidogo kutoka kwake na mwingine sheria itatumika kama ilivyo. Na nyinyi mafisadi ndio mnapenda sana sheria isitumike kama ilivyotungwa kwa faida zenu.
 
Unaelewa maana ya Magendo?
Ebu elezea maana yake we ndio umeileta hiyo term.

Ni hivi leo Bi Tozo yuko Monduli kama amiri jeshi mkuu.

Sasa basi wakati anakutana na wakuu wa vyombo vya ulinzi kwa mara ya kwanza baada ya kuapishwa moja ya vitu alivyoeleweshwa kama amiri jeshi kuna amri atatizoa ambazo matokeo yake watu watauwawa; heck Tanzania tuna adhabu ya kunyonga unaelewa ya kuwa raisi ndio ana sign.

Kama mwenye huruma sana hiyo kazi aimfai, juzi tu amri yake ya kutoa watu Ngorongoro wameuwawa watu na wengine kupewa vilema vya maisha.

Ni hivi aachane na hizi cheap politics watanzania wana changamoto luluki. Mauaji ya albino yamerudi, kuchunwa ngozi kwa vijana, mafisadi ambayo ata JK aliyoyatimua yamerudi, mbolea watu wanafuata mbali inawabidi walale siku kadhaa (wengine mpaka mauti yamewakuta wakisubiria), bei ya chakula iko juu, uhaba wa mikopo ya wanafunzi; yaani ni shida kila kona na keshatoa maagizo ambayo watu wameuawa seuse vifo vya vifaranga.
 
Sheria inatakiwa kutekelezwa kama ilivyotungwa ukianza tu kuweka mambo yako ndio inakuwa kula kwa urefu wa kamba yako. Kuna mwingine utampendelea mru kwa kuwa unajuana naye au amepata kitu kidogo kutoka kwake na mwingine sheria itatumika kama ilivyo. Na nyinyi mafisadi ndio mnapenda sana sheria isitumike kama ilivyotungwa kwa faida zenu.
Sheria zote zina exceptions, miongozo, tafsiri inayoleta maana tofauti kutokana na mazingira ya tukio la uvunjwaji wa sheria husika n.k

Hii ndo sababu kuna majaji na mawakili kwamba busara zao na elimu vinahitajika. Sheria ikifuatwa kama ilivyoandikwa bila busara za binadamu waliopewa dhamana kutumika, hukumu nyingi zitatoka huku haki nyingi zikipotea, hata wewe hautakuwa salama labda kama si miongoni mwa jamii ya watanzania.

JPM alikuwa vizuri kufanya maamuzi kwa mfumo wa sheria inasemaje full stop, na kwakua alijua akipeleka mahakamani sheria inaweza chambuliwa na mtuhumiwa kuonekana hana kosa akajikuta amezaa udhaifu wa kupuuza mahakama na kuikwepa.

Mfano waliotuhumiwa kukwepa kodi kunyang'anywa pesa badala ya kushtakiwa, walioendesha biashara za fedha kimyume na utaratibu kuadhibiwa kwa mfumo uliotumika, kimataifa akajitoa kwenye mahakama za kiusuluhishi n.k
 
Back
Top Bottom