Rais Samia: Kabla sijaingia, biashara na Kenya ilikuwa ngumu. Asema kuchoma vifaranga wa Kenya yalikuwa makosa

Unajua Sheria inasemaje kuhusu, bidhaa za chakula au mifugo kuvuka mipaka ya Nchi!? ... anyways summarization ya hoja yako inaonesha ubongo wako umelalia wapi...so let us agree not to agree.
 
Alikuwa na chiki na Kenyata, kwenye kampeni Odinga alisema nichagueni nitaongoza kama Magufuli. Kenyata akasema mnataka muongozwa kidikteta, magazeti yazuiwe, vyama vya upinzani viziwe? Jiwe akajenga kisasi. Lilikuwa likichaa Sana!

Angejenga kisasi angempa Rais Kenyatta jr tausi? Huruma hiyo ya vifaranga vya Kenya iwafikie na wananchi wa Tanzania wapatiwe ufumbuzi kwenye bei za bidhaa muhimu za matumizi yao ya maisha ya kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…