Chukua hiyo mifano mingine kama huu hauukubali.Mfano huu wa 2-0 sio halisia hata kidogo mkuu. Chukulia muda haujapotezwa, timu zote mbili zimecheza kwa muda sawa lakini baada ya refa kupuliza kipenga cha mwisho, TFF wanawapa magoli mawili timu iliyoshindwa kihalali uwanjani bila sababu yoyote.....matako yanakuwa 2-2. Hii ni haki?
Sasa wame upenyeza wapi? Maana hapa wee unazungumiza kwenye suala la ElimuMkuu, wazungu wana mbinu nyingi. Baada ya kuona ushoga wao unapigwa vita mashuleni wametafuta mahali pengine pa kuupenyeza. Inauma sana.
Wavulana wana muda mwingi was kujisomea, wasichana wakurud shule wanakaz pia za familia na kulea wadogo zao .mi nakumbuka kipnd hicho nikirud hom mama hayupo nitakuta mivyomboo ya Jana usiku na kutwa yote nioshe then niingie jikon, kaka akirud anaenda mpiranPia msichana mwenye div III anaenda form v lkn Kwa mvulana it is impossible ataangukia vyuo vya kati
Kwasababu wasichana wapo more vulnerable kuliko wanaume.
Msichana akipata elimu jamii nzima inaendelea.
Nitaeleza kidogo.
Kwa mfano, ikiwa watoto wote wawili wa kike na kiume wakaishia form 4, unadhan yupi ataathirika kwa haraka zaid kuliko mwingine? Hasa linapokuja suala la uzazi? Na hivyo kuongezea serikal mzigo wa kulea watoto mapema.
Lakini pia, kazi na ajira nyingi semi skilled zinambeba zaid mtoto wa kiume kuliko wa kike.
Ufundi, Udereva, Umachinga, Ubaharia, uvuvi, kufuga, kulima, misitu nk
Nadhani uamuzi huo ni wa busara sana.
Wavulana wana muda mwingi was kujisomea, wasichana wakurud shule wanakaz pia za familia na kulea wadogo zao .mi nakumbuka kipnd hicho nikirud hom mama hayupo nitakuta mivyomboo ya Jana usiku na kutwa yote nioshe then niingie jikon, kaka akirud anaenda mpiran
Hapa ndipo mihemko ya nchi hii inapotaka tuelekee. Tusipochukua hatua, tumekwisha!
Hili siyo jambo baya. Hata mimi naunga mkono. Nia hasa ni kurekebisha pengo la elimu lililopo kati ya wasichana na wanaume. Miaka ijayo pengo likipungua basi wanaweza kurudisha utaratibu wa sasa.Yaani baada ya kuharibu kwenye siasa wanakuja sasa kuharibu kwenye elimu na kuzalisha taifa la watu mbumbumbu
Kwani wasichana wote katika nchi wanasoma day school? Kama hoja yako ni hii mbona hata wasichana waliopo boarding nao wamepewa upendeleo?Wavulana wana muda mwingi was kujisomea, wasichana wakurud shule wanakaz pia za familia na kulea wadogo zao .mi nakumbuka kipnd hicho nikirud hom mama hayupo nitakuta mivyomboo ya Jana usiku na kutwa yote nioshe then niingie jikon, kaka akirud anaenda mpiran
Mfano mwingine ni sheria ya goli la ugenini,
Goli la ugenini linanufaisha timu zote kwa kuwa kila timu lazima icheze home and away, kwa hiyo hapa kuna usawa. Au ulikuwa unataka kusema nini katika hili?Mfano mwingine ni financial fair play ambayo imefanya Juventus kunyang'anywa pointi 10. Sio kwamba Seria A wanataka Juventus iwe sawa na vilabu vingine bali wanataka uwanja wa ushindani uwe sawa kwa timu zote.
Mkuu umemaliza kila kitu lakini hawa viumbe ni wagumu sana kuelewa ndio maana kutwa kucha wamekaa kushadadia mambo ya kiume wakati hawayawezi wanaishia kutafuta upendeleo na kuvuliwa chupi ovyo! Wamelaaniwa hawa viumbe sio bure!Mwanamke anapaswa kututa fulsa zakike ambazo hata sisi wanaume hatuwezi kuingilia na ambazo wanaziweza zaidi kulingana na maumbile na uwezo mungu alowabariki, lets say wanawake wangebaki kua wakunga, waalimu, wamilik wa mahotel and etc nasisi wanaume tukamate zile fulsa zilizokaa kuime mfano Mambo ya ukandarasi, ufundi hasa wa vitu kama magari and etc, biashara za kwenda mbali and etc
Sasa ulichopaswa kudai ni watoto wote wafuatiliwe na wapewe nafasi ya kufuatiliwa na kusikilizwa na serikali ili KILA MMOJA asiadiwe kulingana na anavyokamishwa na mazingira yake katika kusoma na kufikia ndoto zake( Kama serikali yako inaweza kufanya hivyo maana hata vyuo bora vya Marekani haviwezi fanya hivyo bali vinaweka quotas tu za wanafunzi Black kuchukuliwa).Goli la ugenini linanufaisha timu zote kwa kuwa kila timu lazima icheze home and away, kwa hiyo hapa kuna usawa. Au ulikuwa unataka kusema nini katika hili?
Financial fair play ambayo Juve wamehukumiwa kwayo ni kweli ilifanyika, kwa hiyo hakuna uonevu hapa. Na isitoshe walipewa muda wa kusikilizwa na kutoa ushahidi.
Sasa tukirudi kwenye suala la wasichana kupewa ufaulu wa bwerere hakuna uwiano wowote kwani wavulana na wasichana wote wanasomea kwenye mazingira mamoja-----academic fair play, if you like. kwanini sasa kuwe na fair play? Kwa lipi?
Pili, wasichana wanaobebwa hawapewi nafasi ya kusikilizwa ili kila mmoja atoe maelezo yake jinsi alivyokwamishwa kusoma ukilinganisha na wavulana. Wao serikali wanachofanya ni kugawa nafasi za kwenda form 5 kama njugu bila mchujo wala uchambuzi wowote (kama wewe ndivyo unavyoona).
Historia ndiyo imefanya pawepo na pengo. Mfumo dume.Kwani wanaume na wanawake wanasomea mazingira tofauti hadi kuwe na pengo?
Hoja dhaifu piaTofauti na hoja ya viti maaluma huna hoja nyingine yoyote ya msingi.
Kuhusu wanawake kupata nafasi za upendeleo katika masomo ni sahihi kwa sababu jamii nyingi hasa za vijijini hazikuthamini masomo kwa mtoto wa kike kwa muda mrefu hivyo serikali inachofanya ni kusahuhisha hiyo injustice ya muda mrefu. Kuna visa vya watoto wa kike wanaambiwa wafeli mitihani ya darasa la saba makusudi ili waolewe.
Hoja dhaifuKwasababu wasichana wapo more vulnerable kuliko wanaume.
Msichana akipata elimu jamii nzima inaendelea.
Nitaeleza kidogo.
Kwa mfano, ikiwa watoto wote wawili wa kike na kiume wakaishia form 4, unadhan yupi ataathirika kwa haraka zaid kuliko mwingine? Hasa linapokuja suala la uzazi? Na hivyo kuongezea serikal mzigo wa kulea watoto mapema.
Lakini pia, kazi na ajira nyingi semi skilled zinambeba zaid mtoto wa kiume kuliko wa kike.
Ufundi, Udereva, Umachinga, Ubaharia, uvuvi, kufuga, kulima, misitu nk
Nadhani uamuzi huo ni wa busara sana.
Safi sana Hana zero kajitahidi mbona ni imeanza zamaniPia msichana mwenye div III anaenda form v lkn Kwa mvulana it is impossible ataangukia vyuo vya kati
Hivi ni vitu gani unaandika wewe mbona kama haujatumia hekima hata kidogo ingawa unataka kuonekana mwenye hekima?!Tofauti na hoja ya viti maaluma huna hoja nyingine yoyote ya msingi.
Kuhusu wanawake kupata nafasi za upendeleo katika masomo ni sahihi kwa sababu jamii nyingi hasa za vijijini hazikuthamini masomo kwa mtoto wa kike kwa muda mrefu hivyo serikali inachofanya ni kusahuhisha hiyo injustice ya muda mrefu. Kuna visa vya watoto wa kike wanaambiwa wafeli mitihani ya darasa la saba makusudi ili waolewe.
Hivi ni vitu gani unaandika wewe mbona kama haujatumia hekima hata kidogo ingawa unataka kuonekana mwenye hekima?!
Sasa nikuulize swali la kikuda, unataka kuniambia kwasababu kuna changamoto za kijamii zinazosababisha watoto wa kike kushuka kielimu basi suluhu ni kuwawekea vigezo legezi ili wapitishwe lengo likiwa ni kuonyesha matokeo chanya katika makaratasi ya wizara ila vipi uhalisia wa matokeo ya kiufanisi?
Wewe umeambia taaluma zinataka watu wanaobebwa?! Mfano mtu anatamani kuwa daktari ila hana uwezo wa kushika masomo ya udaktari nini unategemea kitokee hapo?!
Si ndio mwisho wa siku tunapata watu wanaokalia taaluma ambazo hawana weledi nazo?!
Kitu ambacho watanzania tumekuwa na vichwa vizito kujifunza ni kutokujifunza na makosa.
Miaka ya nyuma wizara ya elimu waliamua kwa makusudi kushusha vigezo vya watu kusomea Ualimu. Wakaweka vigezo vya chini kabisa kwamba mtu akiwa hata na division 4 atapata kazi ya Ualimu na mkopo juu.
Fast Forward leo hii. Hivi unaona namna elimu inavyozidi kudidimia sababu ya maamuzi ya kipumbavu kama yale. Na watu walikemea sana lile jambo wakasema kwann tusilimi watu kwenda ualimu mwisho iwe division 2. Watu wakatoa sana kauli za kishujaa bila kuwazia hatima ya taifa miaka 100 ijayo.
Leo miaka hata 20 haijapita tumeanza kuvuna hasara. Idadi ya walimu imekuwa kubwa kupita uwezo wa serikali kuajiri.
Walimu wenyewe wengi wanapata udahili kwa vigezo vya chini na matokeo skills zao ni questionable.
Leo serikali inalazimika kutengeneza shule nyingi ili kuajiri walimu ambao kiuhalisia haiwezi wamudu kuwalipa kwa wingi wao.
Impact ipo wapi tukitazama wanafunzi wetu wa sasa unaweza linganisha na wale wa miaka hiyo ya nyuma. Wanafunzi wa sasa wana low but very poor academic performances.
Haya ni matokeo ya maamuzi ya kipumbavu ambayo hayalengi kufanya maboresho bali ni kutokana na upotofu wa akili.