Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Makamba na Ummy washamaliza kutumikia vifungo vyao, sasa hivi wapo vizuri na mama. Rais Samia kaonesha leo ni mtu wa visasi sana, ukionesha kitabia cha kumchallenge tu unafinywa fastaaa.
Naona safari ya Tanga ilikuwa maalum kwaajili ya kutoa msamaha🌚.
Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia: Nilimpiga kikofi January leo namrudisha kwa mama
Sasa tunasubiri msamaha wa Nape ukamilike. Kashasugua kisogo vya kutosha, akirudi ni kukaa mguu pande asubiri kukimbia mabox kama alivyotuambia kura haina maana bali yule anayekimbia na mabox😂😂.
Lissu na CHADEMA mko macho? Vijana mnasemaje, au uchawa unatosha?
Mambo yanazidi kuchangamka majimboni.