Ona huyu chawa!! Takataka kabisa, kuagiza polisi kuwakamata na kuwahoji watuhumiwa ni ubabe?Nchi inaendeshwa kwa kufuata katiba. Rais akiamua kutumia madaraka yake unavyotaka si tutarudi kwenye mambo ya awamu ya 5? Vyombo vya dola ndo vinatakiwa viwakamate wahusika na kuwapeleka mahakamani. Tukisema Mama aanze kutumia ubabe hakutakalika. Tumshukuru sana kwa kuamua kufuata utawala wa kisheria.
Hivi unatafuta nini lakini ndugu yangu? wote tupo kwenye mfungo ujue...! Usilazimishe tufungulie.....yupo busy...
Kunahitajika HATUA ZAIDI kuliko kuongea...Hii nchi sasa ishakua mtihani, watu wanaiba mabilioni ya fedha na hawafanywi lolote..
KUONDOA Mfumo wa kishenzi ni kufukuza wachache kama mfano. Mbona nchi ilitulia na hospitali watu walipokelewa kama hotelini.Sasa Mkuu... Utawasimamisha wangapi uache wangapi? Rais mwenyewe anakwambia yanaanzia ndani hayo!
Zamani kipindi hatuna uhakika wa sabuni chawa walikuwa ni marafiki zetu. Sasa ukiwa hujui mtabaki kama nyani wale wanavofanya leo mnaanza kutafuta chawa mmoja mmoja. Nakwambia walikuwa hawaishi asee.
Wazazi wenye akili walikuwa wanachukua nguo zote na kuziloweka kwenye maji moto. Basi mtakuwa na amani kwa muda kadhaa!
Hiyo ndo overhaul ninayozungumzia... Yaliyopo kote kote TTCL, TRC, ATCL, BANDARI, TRA, Benki, etc ni matokeo ya mfumo.
Ondoa mfumo ulete unafuu
Mkuu mimi najua kwamba ni vigumu kwa nchi yoyote kutokomeza wizi serikalini. Hata huko Marekani kwenye mifumo bora ya uongozi, leo hii unasikia raisi mstaafu wa taifa hilo Donald Trump anataka kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa sababu zinazofanana na hizi tunazozungumzia hapa.Sasa Mkuu... Utawasimamisha wangapi uache wangapi? Rais mwenyewe anakwambia yanaanzia ndani hayo!
Zamani kipindi hatuna uhakika wa sabuni chawa walikuwa ni marafiki zetu. Sasa ukiwa hujui mtabaki kama nyani wale wanavofanya leo mnaanza kutafuta chawa mmoja mmoja. Nakwambia walikuwa hawaishi asee.
Wazazi wenye akili walikuwa wanachukua nguo zote na kuziloweka kwenye maji moto. Basi mtakuwa na amani kwa muda kadhaa!
Hiyo ndo overhaul ninayozungumzia... Yaliyopo kote kote TTCL, TRC, ATCL, BANDARI, TRA, Benki, etc ni matokeo ya mfumo.
Ondoa mfumo ulete unafuu
Swali langu kwako mwaka uliopita walichukuliwa hatua gani?Nchi inaendeshwa kwa kufuata katiba. Rais akiamua kutumia madaraka yake unavyotaka si tutarudi kwenye mambo ya awamu ya 5? Vyombo vya dola ndo vinatakiwa viwakamate wahusika na kuwapeleka mahakamani. Tukisema Mama aanze kutumia ubabe hakutakalika. Tumshukuru sana kwa kuamua kufuata utawala wa kisheria.
Basi kama ni hivyo aache kulalamikaRipoti ya CAG sio hukumu ya Mahakama,ikithibitika hatua zitachukukiwa..
Kumbuka Rais Samia sio mtu wa mihemko,kukurupuka na ku loose temper kirahisi ,ukifanya hivyo anaweza umiza wengi.
unafikiri hao wagombea binafsi sio wanasiasa? au unafikiiri wanatoka nje ya Africa. suluhisho ni kuwa na katika bora inayoweza hata kumwajibisha Rais aliyepo madarakani, inayoipa nguvu mihimili mingine hasa Bunge na mahakama bila hivyo hata Malaika waje waongoze hii nchi watageuka kuwa mashetaniBinafsi naona vyama vyote Tanzania au Afrika vimeanzishwa kwa lengo kutafuna fedha za wananchi, ndomaana ukivichunguza hata uendeshaji wao ni wa upigaji upigaji.
Cha kufanya ni kuwa na wagombea huru ambao watagombea uongozi bila kupitia chama chochote cha siasa. Maana wanasiasa wote ni wezi, waongo na wanafiki.
Vyombo vya usalama vinashindwa au naweza kusema vinaogopa kuwakamata kwa sababu havina watu madhubuti wa kuwalinda.Nchi inaendeshwa kwa kufuata katiba. Rais akiamua kutumia madaraka yake unavyotaka si tutarudi kwenye mambo ya awamu ya 5? Vyombo vya dola ndo vinatakiwa viwakamate wahusika na kuwapeleka mahakamani. Tukisema Mama aanze kutumia ubabe hakutakalika. Tumshukuru sana kwa kuamua kufuata utawala wa kisheria.
HAKIKAKUONDOA Mfumo wa kishenzi ni kufukuza wachache kama mfano. Mbona nchi ilitulia na hospitali watu walipokelewa kama hotelini.
Ila kitendo cha yule bwana kufa tu sahizi pharmacy zote za hospitalini hazina dawa hadi ukanunue nje.
Inauma sana mkuu πNchi hii kila Mtu anajichukulia anavyotaka
Ni kama vile Wenye mamlaka hawana nguvu yoyote
Nakubaliana na mia kwa miaunafikiri hao wagombea binafsi sio wanasiasa? au unafikiiri wanatoka nje ya Africa. suluhisho ni kuwa na katika bora inayoweza hata kumwajibisha Rais aliyepo madarakani, inayoipa nguvu mihimili mingine hasa Bunge na mahakama bila hivyo hata Malaika waje waongoze hii nchi watageuka kuwa mashetani
CCM ni janga kubwa Sana hapa nchini.
Solution ya hiyo "laana" ni kuipiga chini CCM katika uchaguzi ujao