Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Ona huyu chawa!! Takataka kabisa, kuagiza polisi kuwakamata na kuwahoji watuhumiwa ni ubabe?Nchi inaendeshwa kwa kufuata katiba. Rais akiamua kutumia madaraka yake unavyotaka si tutarudi kwenye mambo ya awamu ya 5? Vyombo vya dola ndo vinatakiwa viwakamate wahusika na kuwapeleka mahakamani. Tukisema Mama aanze kutumia ubabe hakutakalika. Tumshukuru sana kwa kuamua kufuata utawala wa kisheria.
Hii nchi inahitaji kiongozi dikteta over