Rais Samia kaniangusha na kunisononesha sana ripoti ya CAG 2021-2022

Rais ameshakuwa mpole kuliko kiasi.
 
Hao wote lazima wachaniwe mkeka mzee Mama hawezi kuacha uozo kwenye uongozi wake na ndio maana leoo ameongea kwa jazba sana hii inaonyesha ni kwa kiasi gani alivyo na uchungu na nchi yetu watanzania inatakiwa tumshukuru Mungu kutupa kiongozi ambae anaweza kusimama mbele na kusema wazi uozo unaofanywa nyuma yake na watu wanaohizi hatojua Mama ni geneous aisee
 
Punga wewe,nani kakwambia teuzi zinatafutwa jf?

Najua unataka nikusukume kisamvu ila bahati mbaya silagi visamvu.

nakusahuri pelekea mattako yako kwa vijana wengine.


Nakukumbusha usisahau kuweka namba yako ya siku comrade shoga
Teuzi inakuhusu
 
Yuko huku atakusikiaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sindio viongozi mnaowapenda hao mnalalamika nini sasa? Wanaume wakikamata nchi mnalia lia ooh madikteta. Uliona wapi mtu anayepambana na mwizi akala nae kwenye meza moja.
Kama Magufuli angekuwako kungetokea kimoja kati ya hivi viwili:-

1. Either ripoti isingesomwa au ingeletwa nyingine;
2. Kama ingesomwa kama ilivyosomwa, Bwana Charles Kichere yangemkuta ya Prof Assad

Tofauti ni kwamba ukiwa handle hawa watuhumiwa bila kufuata taratibu, huwezi kuwafunga.

Wote ambao Jiwe aliwaswaga rumande kabala ya "preliminary investigation" waliishia kuishi rumande hadi alipokufa.

Na alipokufa wametoka wako huru.

Ripoti ya CAG siyo kila alichokisema ni UFISADI. Bali zingine zinahitaji majibu toka kwa accounting officers.

Kwa hiyo hiyo ripoti itakapokuwa public, kuna cut off time ya accounting officers kutoa majibu ya hoja zao. Zile ambazo hatakuwa ameridhika nazo ndiyo sasa inabidi zifanyiwe kazi na vyombo husika kama TAKUKURU
 
Mkuu unafikiri kuna rais pale?!!

Pale kuna kivuli tu kisichojitambua.
Inaonekana hata yeye mwenyewe haelewi mamlaka yake ni yapi, yupo kupiga mipasho tu.
Kabisa ndugu, sisi wavuvi hadi leo hii mradi wetu haieleweki umeishia wapi. Pesa zilitengwa tangu bajeti ya 2022/2023 kwenye bunge hili la hovyo kabisa, na sasa tunakaribia kuingia mwaka mwingine wa fedha 2023/2024 pasipo mradi kuanza kufanyika. Rais ameshindwa kuchukulia hatua yoyote WEZI, WABADHILIFU NA WANAOCHELEWESHA mradi huo.

Rais amechagua kucheka na manyani.

Kwa kweli TUNA RAIS WA AJABU KABISA KUWAHI KUTOKEA TANZANIA.


 
V Vyovyote vile ila 70% Magufuli aliendesha nchi kama Raisi
 
Usimlinganishe malaika na binadamu tuliojaa dhambi.
 
Mkuu

Penyeza jina langu Boss ili anipe cheo ki Moja wapo ili nifanye kweli!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA ijadiliwe iwe Katiba mpya!
 
Vumilia tu...
 
Mfumo huo huo umempaa mamlaka ya kuchukua kuwajibisha wezi wa mali ya umma lakini yeye mwenyewe anashindwa.
Je kama yeye kapewa mamlaka ya kuwajibisha analalamika, je wananchi tufanyaje?

Kama anaturuhusu tuchukue sheria mkononi aseme tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…