Rais Samia kaniangusha na kunisononesha sana ripoti ya CAG 2021-2022

Hahahahahah na ndio maana huu upuuzi ulipungua sana awamu ilioisha. Sasa sahizi mtu karuhusu kuanzia wakurugenzi wote wawe wezi, mawaziri, wana usalama kuna kitu kitabakia kweli?
Inasikitisha sana mkuu wa nchi anamshauri mwizi kuachia nafasi ya kazi badala ya kuamrisha vyombo husika vimkamate na kumfikisha mahakamani.
 
Kama Magufuli angekuwako kungetokea kimoja kati ya hivi viwili:-

1. Either ripoti isingesomwa au ingeletwa nyingine;
2. Kama ingesomwa kama ilivyosomwa, Bwana Charles Kichere yangemkuta ya Prof Assad

Tofauti ni kwamba ukiwa handle hawa watuhumiwa bila kufuata taratibu, huwezi kuwafunga.

Wote ambao Jiwe aliwaswaga rumande kabala ya "preliminary investigation" waliishia kuishi rumande hadi alipokufa.

Na alipokufa wametoka wako huru.

Ripoti ya CAG siyo kila alichokisema ni UFISADI. Bali zingine zinahitaji majibu toka kwa accounting officers.

Kwa hiyo hiyo ripoti itakapokuwa public, kuna cut off time ya accounting officers kutoa majibu ya hoja zao. Zile ambazo hatakuwa ameridhika nazo ndiyo sasa inabidi zifanyiwe kazi na vyombo husika kama TAKUKURU
Vipi kuhusu pigo la ndege ya mizigo. Nalo linahitaji maelezo?
 
Kabisa ndugu, sisi wavuvi hadi leo hii mradi wetu haieleweki umeishia wapi. Pesa zilitengwa tangu bajeti ya 2022/2023 kwenye bunge hili la hovyo kabisa, na sasa tunakaribia kuingia mwaka mwingine wa fedha 2023/2024 pasipo mradi kuanza kufanyika. Rais ameshindwa kuchukulia hatua yoyote WEZI, WABADHILIFU NA WANAOCHELEWESHA mradi huo.

Rais amechagua kucheka na manyani.

Kwa kweli TUNA RAIS WA AJABU KABISA KUWAHI KUTOKEA TANZANIA.

View attachment 2570191
Yani badala ya kusikitika nimejikuta nacheka peke yangu.

Nafikiri hiyo picha ya raisi hapo juu imewasaidia kutochukuliwa hatua yoyote.
 
Takukuru ni moja wapo ya taasisi za hovyo kuwahi kuwa nazo hapa nchini.

They are simply useless.
 
KWANZA HIVI NDIO VYEO VYAKE

1) Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
2) Mkuu wa nchi na kiongozi namba moja kwa pande zote mbili za Muungano.
3) Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama.

Hivyo ni vyeo ambavyo vinamruhusu mheshimiwa raisi kuchukua hatua kwa mtu yoyote wa serikalini ambae anafanya kazi yake kinyume na sheria za nchi, aidha kwa yule anaeiibia serikali, anaetoa rushwa, anaepokea au kuchelewesha mipango ya serikali hasa inayohusu maendeleo nk.

Inasikitisha sana mtu mwenye vyeo hivyo anashindwa, au anasita kuwachukulia hatua kali za kuagiza wakamatwe na kufunguliwa mashtaka wale wote waliopatikana na tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma serikalini na badala yake raisi eti anawaomba tu waachie nafasi zao bila kufungwa au kurudisha fedha hizo.

Hata wale aliosema kwamba kila report zinapofika watu hao hao hukutwa na tuhuma zile zile ilitakiwa wakamtwe kwa tuhuma ile ile ya kwanza na kubanwa vizuri walipozipeleka fedha zetu, badala ya kutaka eti washushwe vyeo au kuhamishwa ofisi.

Yani mwizi wa ndala akamatwe na kufungwa huku mwanasheria wa serikali akitafuna kodi zetu kwa kuendesha kesi yake, afu yule anaeiibia serikali mabilioni ya shilingi ahamishwe tu kituo ili akaendelee na utafunaji wa fedha zetu huko katika ofisi nyingine. Ni kwanini asifukuzwe kazi ili nafasi yake ichukuliwe na mtu mungine na ukizingatia kuna watu wengi wana elimu zao mitaani lakini kazi hawana?

Lakini pia sio aishie kufukuzwa tu bali afunguliwe kesi ya uhujumu uchumi na mali zake zote zitaifishwe.

China imeweza kupiga hatua duniani baada ya viongozi wa nchi kusimamia vyeo kodi za wananchi wao kwa kutoa adhabu kali kwa yeyote atakaejaribu kugusa fedha za serikali.
Pia hata Rwanda ipo vizuri baada ya raisi wa nchi hiyo kukitumia vyema cheo chake.

Raisi na amiri jeshi mkuu ukibaki kulalamika, unafikiri mawaziri na viongozi wengine wa kawaida wataweza kuwa na uwezo wa kujiamini kuchukua hatua kweli.

Kama kulalamika umeshalalamika kwa zaidi ya miaka miwili sasa lakini upigaji ni ule ule. Sasa kabla ya kuwaambia watu na hili mkalitizame, tunakuomba na wewe kwanza ujitizame kwamba hiyo ndio njia sahihi ya kuendelea ku deal na mafisadi.

Ukicheka na nyani shambani usishangae kuvuna ma

Ukicheka na nyani shambani usishangae kuvuna mabua.
Hapo ndipo ilipo tofauti ya Raisi mwanamke na Raisi mwanaume kwenye kufanya maamuzi na kwenye kuongea kwa kumanisha ,
 
Hakuna atakayebakia salama Wala kusalimika katika suala hili la ufujaji wa pesa za umma,Nafikiri umesikia mh Rais namna suala hili lilivyomkera,hivyo Tuwe na subira watanzania maana Tunaamini hatua Kali za kisheria zinakwenda kuchukuliwa ,wahusika watapitishwa katika njia ya majuto na maumivu makali Sana kisheria ambayo itakuwa fundisho kwa watu wengine
Ndugu Lucas mwashambwa hivi kama raisi kaagiza wezi wahamishwe ofisi au kupunguzwa vyeo, ni nani mungine atakaethubutu kukiuka agizo hilo kwa kujaribu kuwafunga?
 
Mkuu unafikiri kuna rais pale?!!

Pale kuna kivuli tu kisichojitambua.
Inaonekana hata yeye mwenyewe haelewi mamlaka yake ni yapi, yupo kupiga mipasho tu.
Saa 100 is myth something which doesn't existing even there is no something like presdent samia in tanzania
 
Sasa kama hawezi kupambana nayo peke yake au wa kumsaidia kupambana nayo wako wapi?

Wanafanya kazi gani? Kama anaona wanashindwa kumsaidia si awafukuze na kuteuwa wengine ambao wataweza kumsaidia. Wewe unaona ni sawa kila ripoti inapotolewa raisi mzima analalamika bila kuchukua hatua.
Mbona anatumbua sana!
Je, kuna mabadiliko??‽¿
 
KWANZA HIVI NDIO VYEO VYAKE

1) Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
2) Mkuu wa nchi na kiongozi namba moja kwa pande zote mbili za Muungano.
3) Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama.

Hivyo ni vyeo ambavyo vinamruhusu mheshimiwa raisi kuchukua hatua kwa mtu yoyote wa serikalini ambae anafanya kazi yake kinyume na sheria za nchi, aidha kwa yule anaeiibia serikali, anaetoa rushwa, anaepokea au kuchelewesha mipango ya serikali hasa inayohusu maendeleo nk.

Inasikitisha sana mtu mwenye vyeo hivyo anashindwa, au anasita kuwachukulia hatua kali za kuagiza wakamatwe na kufunguliwa mashtaka wale wote waliopatikana na tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma serikalini na badala yake raisi eti anawaomba tu waachie nafasi zao bila kufungwa au kurudisha fedha hizo.

Hata wale aliosema kwamba kila report zinapofika watu hao hao hukutwa na tuhuma zile zile ilitakiwa wakamtwe kwa tuhuma ile ile ya kwanza na kubanwa vizuri walipozipeleka fedha zetu, badala ya kutaka eti washushwe vyeo au kuhamishwa ofisi.

Yani mwizi wa ndala akamatwe na kufungwa huku mwanasheria wa serikali akitafuna kodi zetu kwa kuendesha kesi yake, afu yule anaeiibia serikali mabilioni ya shilingi ahamishwe tu kituo ili akaendelee na utafunaji wa fedha zetu huko katika ofisi nyingine. Ni kwanini asifukuzwe kazi ili nafasi yake ichukuliwe na mtu mungine na ukizingatia kuna watu wengi wana elimu zao mitaani lakini kazi hawana?

Lakini pia sio aishie kufukuzwa tu bali afunguliwe kesi ya uhujumu uchumi na mali zake zote zitaifishwe.

China imeweza kupiga hatua duniani baada ya viongozi wa nchi kusimamia vyeo kodi za wananchi wao kwa kutoa adhabu kali kwa yeyote atakaejaribu kugusa fedha za serikali.
Pia hata Rwanda ipo vizuri baada ya raisi wa nchi hiyo kukitumia vyema cheo chake.

Raisi na amiri jeshi mkuu ukibaki kulalamika, unafikiri mawaziri na viongozi wengine wa kawaida wataweza kuwa na uwezo wa kujiamini kuchukua hatua kweli.

Kama kulalamika umeshalalamika kwa zaidi ya miaka miwili sasa lakini upigaji ni ule ule. Sasa kabla ya kuwaambia watu na hili mkalitizame, tunakuomba na wewe kwanza ujitizame kwamba hiyo ndio njia sahihi ya kuendelea ku deal na mafisadi.

Ukicheka na nyani shambani usishangae kuvuna mabua.
WANGEKUWA WAPINZANI WOTE WANGELALA GEREZA LA KEKO NA KESHO WANGEAMKIA MAHAKAMA ya MAFISADI bahati nzuri hao wote ni MAKADA
 
Nchi inaendeshwa kwa kufuata katiba. Rais akiamua kutumia madaraka yake unavyotaka si tutarudi kwenye mambo ya awamu ya 5? Vyombo vya dola ndo vinatakiwa viwakamate wahusika na kuwapeleka mahakamani. Tukisema Mama aanze kutumia ubabe hakutakalika. Tumshukuru sana kwa kuamua kufuata utawala wa kisheria.
Kwamba kumsimamisha mwiz na kumpeleka mahakamani ni kutokufuafa utawala wa sheria sio
 
Back
Top Bottom