tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Inahudhunisha. Yaani watu wanakufa wanajiona huku rais akila zake bata huko Brazil. Watawala wa nchi hii wana mambo ya ovyo sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inahudhunisha. Yaani watu wanakufa wanajiona huku rais akila zake bata huko Brazil. Watawala wa nchi hii wana mambo ya ovyo sana.
Inahuzunisha sana, tena sana!Ninaandika post hii ni saa 9 kasoro usiku machozi yananitiririka nashindwa kulala nipo nimeshika biblia na Quran hapa nashindwa hata la kufanya
Roho inaniuma maana kuna ndugu zetu wapo chini ya vifusi hadi muda huu na wanapigiwa simu zinaita wanalia tu na kutuma voice za huzuni za kuomba msaada[emoji24][emoji24].
Kuna binti yupo chini ya kifusi huko na ni mjamzito hapa nashindwa hata niandike nini
Rais anapata wapi nguvu ya kusafiri?Hiyo nguvu ya kupanda ndege hadi Brazil kaitoa wapi? Its shame and disgusting!! Yaani nyumbani watoto wako wapo chini ya kifusi halafu wewe kama mzazi unaenda kwenye sherehe ya jirani serious??
Sisemi kwa ubaya lakini Rais wetu kwa hili kakosea sana!!kaonesha ni jinsi gani asivyojali hili taifa!! Kaonesha ni jinsi gani asivyo na huruma na raia wake?
Huo mkutano una umuhimu kuliko roho za mamia ya watu walio chini ya kifusi?Rais amepata wapi huu moyo?nawaza nakosa jibu kabisa[emoji24]
Roho inaniuma mnoo!! Kwa hili rais Samia umekosea pakubwa mnoo!! its shame ni aibu mnoo na dharau kubwa kwa taifa hili.
PIA SOMA
- PICHA: Rais Dkt. Samia aelekea Brazil kushiriki mkutano wa G20
Inasikitisha sana!Nadhani kifo ni kifo tuu na janga ni janga tuu , havimo kwenye ratiba muhimu
Wewe kuna siku utapigwa na utakosa wa kukutetea 😏Gentleman,
kua mkweli,
machozi yanakutitirika kwasababu ya madeni ya kausha damu unayopitia au ugumu wa maisha unaopitia, huenda kwasababu za uvivu wako?
Hata hivyo mbona ni dhahiri shahiri uchungu wako, wala sio hata kwaajili ya wahanga wa jengo lililoporomoka huko kariokoo ?
Mihemko yako ni dhidi ya jitihada za Rais Dr Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha kwamba, licha ya changamoto, dosari na kasoro mbalimbali za kiasili na kibinadamu, bado hachoki wala kukata tamaa kuhakikisha anatumia fursa zote zinazoonekana Kitaifa na kimataifa kwa maslahi mapana ya wananchi na waTanzania wote?
Kamati ya maafa Kitaifa, iliyo chini ya waziri mkuu Kasimu Majaliwa, na makamu wa pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah, ipo kazini tangu kutokea kwa tukio hilo, unahitaji nani afanye nini tena gentleman?
Rais afanye nini zaidi ya hapo gentleman? Hakuna haja ya makasiriko na kuibua hisia potofu zenye chuki dhidi ya mkuu wa nchi.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
JPM alikuwa mhutu.Zanzibar ina watu milioni moja sawa na wilaya ya kinondoni hapa Dar, wewe unawashwa nini utoke huku bara uende kugombea udiwani huko visiwani wakati umeacha ardhi ya hekari laki tisa?.
Ubaguzi huwa unaziumiza nafsi zenu, JPM alibaguliwa kwa usukuma wake Chato pakaonekana sio sehemu ya Tanzania leo kaja Samia nae anaitwa sio mtanzania.
Akili za kibaguzi za namna hii huwa tunaziombea kila siku tunapopiga magoti makanisani.
Mapete,abiduli na mama kizimkazi wanaupiga mwingi ,MITANO TENA kwao na hapa ipo.
kupigwa hapa hapa JF au jimboni mtumishi?Wewe kuna siku utapigwa na utakosa wa kukutetea 😏
Mtu mwenye IQ hio ni average, nadhani atakuwa around 30 sumthinKuna haja ya kuwafanyia psychometric tests na analysis hawa wapuuzi kabla ya kuwateua kuwa viongozi , huwezi kuteua jitu lina Iq ya 50 halafu unatarajia jitu kama hilo liwe think-tank ya taifa ,ni upuuzi
Hakuna mwaliko mkubwa ambao mtu hauwezi kukataa na kuacha kwenda.Huo mwaliko ni mkubwa sana hawezi kuacha kwenda lakini nchi ina viongozi wengine amnao wanafanya kazi nzuri mno hadi sasa
Mbowe hatunzwi kwa kodi za raia wa Tanzania.Kwahyo Mbowe yupo ndani ya kifusi anaokoa watu syo,
hebu acheni kujitoa ufaham, kwani duniani si kina Vita vinaendelea umeskia Kuna udhuru wwte kisa Vita?
After all; jengo limeporoka Mh. Rais akiwa ameshaondoka lakini je Kuna kitu kimesmama? Mnaendekeza siasa za kipumbavu sana
Kuna muda unakera ujue 😹kupigwa hapa hapa JF au jimboni mtumishi?
hujambo lakini mtumishi?🐒
😂😂 umeandika kwa uchungu sana2025 akaombe kura hukohuko Brazil
siku zote ukweli ni mchungu sana, na unatabia ya kukera sana aise. Pole sana lakini itabidi uzoeee mtumishi..Kuna muda unakera ujue 😹
Watakupiga kotekote subiri uone..!!
Mi niko mzima, kuna muda punguza kuandika pumba watu tuna machungu ujue…
Relax gentleman makasiriko hayana haja 🐒We ni upinde...
sasa wewe gimbi mbona una mihemko tu 🤣We jamaa ni kiazi.. unatetea ujinga kisa uchawa..