Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania


Hamna Cha ujasusi Wala Nini.
 
Hii ya kunyweshana kwa Glass hua naona kwa maharus tu bt anyway kule Moshi mbege hua tunashare vitochi so cha ajab nacho hamna
 

Punguza uongo. Hakubadilishiwa glass.
 

Punguza uchawa. Unatetea Hadi uongo. Amemnywesha mme wa mtu juisi na yeye akanywa. Usisahau ni Samiah huyu huyu walibaki kwenye gari na kagame pekee yao. Sijui walikuwa wanafanya Nini.
 
Ndo tatizo la kuwa na rais wa upande wa pili unakumbuka yaliyowakuta Croatia kwenye kombe la dunia
 

Wewe ni kawaida yako kutetea vitu vilivyopo wazi. Hakuna anaye kushangaa. Eti alibadilishiwa glass, kwani nani alimtuma akamnyweshe mwenzake. Kimbelembele na ukosefu wa maadili.
 
Acha uongo wako na upotoshaji wako hapa wa kujifanya unamfahamu Rais wetu mpendwa kuliko sisi watanzania, acha na Koma kumchafua mh Rais wetu hapa, Tena Koma kabisa

Ukweli ni kwamba Rais angepiga cheers ingetosha , lakini kwenda na kumnywesha Rais wa kiume juisi ni Kama kumseduce.
 
Watu wengi hawajaelea maana ya hyo video mam pale kaupiga mwingii mnk alipewa juice isoyofanan kbsa na watu wengine akaona Yanini Nijifie Pekee angu akabidi pale amnyweshe nyusi Kama Ni kufa wafe wote dadeki mam kaupiga mwingi

Wamuue kwa lipi?. Ameamua mwenyewe kutrend.
 
Ukweli ni kwamba Rais angepiga cheers ingetosha , lakini kwenda na kumnywesha Rais wa kiume juisi ni Kama kumseduce.
Unajuwa huyo mwenyeji wake alikuwa ameshika kinywaji gani? Unazani kwanini mh Rais wetu mpendwa alinyooshea kidole glasi ya mwenyeji wake? Hicho kitendo Ni Cha kawaida kufanywa na viongozi wa hata mataifa makubwa, lakini naomba ukweli usimame na kubaki kuwa mh Rais wetu hakutumia glasi aliyotumia mwenyeji wake
 

Naona unajiuliza na kujijibu.
 

Lazima atumie, kwanini amnyweshe mwenyeji wake halfu asitumie?. Huko ndio tunaita ukosefu wa hekima. Kama alikuwa hataki kinywaji angebeba maji yake baadala ya kujichoresha na kuanza kunywesha watu juisi bila kuombwa. Rais wa msumbiji ameshtuka Sana.
 
Ndio Ndio!una jicho we Jamaa!!

Kwani mama kanywa pale!!?

Mama muoga sana anajua usalama ni mdogo maadui KILA kona!!hakujiandaa kunywa pale!!

Sawasawa
Sivyo hivyo mnavyofikiria, mwenzake alikuwa anapiga mvinyo pale na yeye hata kama huwa anapiga mavitu makali lakini hawezi piga hadharani.
Mwanamke wa kiislamu yule!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kwa uwezo wako unaweza usione, Nenda katazame Tena vizuri uone hata namna mh Rais wetu mpendwa anavyoipokea glasi nyingine toka kwa msaidizi wake, uwe unajenga tabia ya utulivu kwa kila Jambo siyo unasoma maoni ya watu humu halafu unakimbilia kwenda kuchangia tu
Punguza uongo. Hakubadilishiwa glasszo
 
Kama aliwekewa sumu wafe wote.

Ndio utetezi uliobaki. Watu wanawaza kuuawa kila saa. Mbona hakumfanyia hivyo kagame?. Walikaa wawili tu kwenye gari, Tena tinted. Na kagame alikuwa ana muendesha. Walichofanya ni siri yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…