econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kweli watu mmeishiwa hoja za kujadiri hapa, kwanza mjuwe mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani kaonyesha yeye Ni Zaid ya Rais, kaonyesha yeye Ni komandoo na jasusi aliyekamilika, Kaonyesha yeye Ni TISS iliiyoiva kisawasawa, Ndio maana hapo unaona kamnywesha huyo mwenyeji wake lakini yeye kamkwepa kikomandoo, Hapo kawapiga chenga ya kijasusi kubwa Sana, Kawapiga mueleka wa kikomandoo na kuwaacha wakiwa chini
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wakugusa maisha ya watanzania wanyonge
Hamna Cha ujasusi Wala Nini.