Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Ukiona mtu anatukana matusi Ni dalili za kuishiwa hoja, bila Shaka umeshikwa ndio maana umeishiwa kutukana matusi hapa
Unatafuta ulaji kupitia sisi? Una shobo mbaya zaidi ya shoga!! Unataka Samia akuone unavyojidhalilisha kwaajili yake akupe ulaji?

Umekuja mjini juzi sisi tupo enzi na enzi acha shobo.
 
Unatafuta ulaji kupitia sisi? Una shobo mbaya zaidi ya shoga!! Unataka Samia akuone unavyojidhalilisha kwaajili yake akupe ulaji?

Umekuja mjini juzi sisi tupo enzi na enzi acha shobo.
Wewe Ni Nani Hadi unipandishe, kwa hiyo wewe unaandika upotoshaji wako hapa ili ukapate ulaji kwa wanaojituma? Basi siyo kosa lako Bali Ni kosa la wanaojituma kufanya kazi iliyokuzidi kimo Cha uelewa
 
Umeandika upuuzi gani huu!? Ulikuwepo pindi hiyo glass ikibadilishwa na kupewa nyingine..

Tazama hadi mwisho utaona jinsi bibi Hangaya akinywa kinywaji cha juisi ya parachichi hadi mwisho..
Bila Shaka macho yako yanamatatizo yakuona au umekimbilia kuandika tu bila hata kuelewa kitu
 
Watanzania tumeshasahaulishwa masuala ya msingi tumehamia kujadili hili tukio.

Tozo imesahaulika na aliyechemka jana haongelewi
 
Sasa kumbe huna hata uhakika na huelewi kitu halafu unaleta ujuaji wako hapa, Tulia uelimishwe na kufundishwa siyo unakimbilia kuandikaa tu hapa kwa kufuata mkumbo
Wewe umeona nini kama siyo demu la mtu likimnywesha soda mume wa mtu!
 
Hapa nasimama.na Samia Suluhu Hasan

Personal character yasichukuliwe kama weakness

Hapana hata yeye ni binadamu kama walivyo wengine.

Anafillings,ana moyo,

Yeye kuwa raisi isichukuliwe ubinadamu umemtoka

Ni binadamu kama walivyo wengine.

Okey sawa sawa eee

Huu mjadala usher,kuwa na mume anajua fika anayo. Na anajua cha kujibu kwa mume wake

Sisi mambo ya ndoa yao hayatuhusuu
 
Acheni ushamba. Hapa kakosea nini?

Amandla...
 
Ni kweli mambo ya ndoa hayatuhusu lakini akumbuke ni Rais wa nchi anapaswa kulinda mila na desturi zetu!
 
Hizo ndiyo mila zetu waafrika. Tuna share na kuembrace one another.
 
Sema mila yako wengine tumeona haya!
Haya si sababu unafuatisha mila za mbele. Huku kwetu tulikuwa tunatembea maziwa na mapaja wazi. Leo kwa kuiga mila za wazungu utaona haya ukiona maziwa na mapaja nje.
 
This is bad, I repeat, THIS IS WORSE.

Kuna kitu hakiko sawa mahali, kuna kitu kiko VERY WRONG..

Hii ni mistake atakayoijutia maisha yake yote.
Kwendraa. Kujikuta diplomatic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…