Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Wewe chawa huna hoja hakukuwa na sababu ya msingi yeyote ile kunywesha juice Rais wa msumbiji halafu nayeye akanywa palepale halafu anawambia watu wajilinde na Ebola na covid! Kulikuwa na tishio gani dhidi yake?
Itakuwa umekurupuka bila kujuwa kinachobadilika haapa, hapa tunachosena Ni kuwa haikutumika glasi moja pale
 
Umeandika kwa akili zako timamu au double kick??
 
Kwa kweli nilipoiona ile video akili yangu ilizubaa fasta. Nikawa namfikilia mwenye mke sijui anajisikiaje akiona hivi!!!? Kuna jambo halipo sawa wakuu[emoji24][emoji24]
 
Tuliza mzuka mkuu, punguza nongwa za kitoto. Ni mama wa miaka 62 licha ya kuwa mke wa mtu.
 
Baba yetu uliye mbinguni usitutie kwenye vishawishi utupe mkate wetu utuokoe maovuni. Praise the lord. We rebuke every unfamiliar spirit
 
Katuaibisha! Yeye siyo mwanamke wa kawaida bali ni Rais wa nchi anapaswa kulinda mila na desturi zetu!
Mila na desturi zenu ndio zipi? Katika nchi yenye makabila zaidi ya 120, dini za asili na za kuletwa. Niambie sasa ni mila n dini ipi inayo kataza mwanamke kumnywesha mwanaume asie mume wake kinywaji.

Amandla...
 
😑😑😑hichi kitendo kimeniumiza sana kama mtoto huwezi fanya vile mbele ya camera....hii nchi sijui inaenda wapi
 
.
 

Attachments

  • 20220923_190533.jpg
    48.7 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…