kabla sijaiona video nilikuwa nabisha na kumtetea bmkubwa.
ila baada kuitazama nimeishiwa nguvu na kauli. bmkubwa went against presidential protocols.big shame for her and us as citizen.
kumtetea huyu Mama ktk hili inahitaji ufanye hivyo huku ukiwa umejizima data kichwani.
watu wa kitengo sijui mtalizimaje hii....mtajijua wenyewe maana miongoni mwa majukumu yenu ni kuhakikisha mnalinda image ya mkuu wa nchi kwa gharama yoyote.
wale ambao hamjaiona video, mzigo huu hapa.
watch at own risk.
View attachment 2365962