Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Salaam

Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki

Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani?

Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu.
View attachment 2365501
Kiprotocal hii imekaaje?
View attachment 2365516
Najiuliza, Baba yetu Hafidh Ameir Hafidh amemfanyia baya gani rais wetu hadi alipize kwa kumuumiza kiasi hiki?
View attachment 2365540
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na rais wa Msumbiji Filipe Nyusi
View attachment 2365938
View attachment 2365567
Mara mia Rajab Abdul Kahali aka Harmonize, kapeleka ujumbe unaoeleweka.
Ni wazi alibadilishiwa glass. Utaona anapokea glass ambayo imejaa mwisho wa clip ukilinganisha na ile aliyomnywesha Nyusi.
 
huna akili.
Angalia Samia anavyopotea kushoto kwenye clip baada ya kumnywesha Nyusi. Hapo anapewa glass nyingine. Angalia pia ujazo wa glass wakati anaenda kumnywesha na wakati anakunywa mwenyewe mwisho kabisa
 
kabla sijaiona video nilikuwa nabisha na kumtetea bmkubwa.

ila baada kuitazama nimeishiwa nguvu na kauli. bmkubwa went against presidential protocols.big shame for her and us as citizen.

kumtetea huyu Mama ktk hili inahitaji ufanye hivyo huku ukiwa umejizima data kichwani.

watu wa kitengo sijui mtalizimaje hii....mtajijua wenyewe maana miongoni mwa majukumu yenu ni kuhakikisha mnalinda image ya mkuu wa nchi kwa gharama yoyote.

wale ambao hamjaiona video, mzigo huu hapa.
watch at own risk.
View attachment 2365962

huna akili.
Wewe hupo sawa kichwani maana naona unamvamia kila mtu anayekupinga upotoshaji wako humu
 
Ni wazi alibadilishiwa glass. Utaona anapokea glass ambayo imejaa mwisho wa clip ukilinganisha na ile aliyomnywesha Nyusi.
Hebu sema kweli, alimnywesha jamaa au hakumywesha?

Akili za viroboto hovyo sana, mmekomaa na kubadilishwa glas ilihal mama yenu kesha wadhalilisha kweupee!
 
Hivi nyie mnaotoka mapovu mtasema nini Rais wetu akienda nchi ambayo wanasalimiana kwa kubusiana mashavu au mikono? Au, astaghafilula, mtu akamkumbatia!

Amandla...
 
Ni wazi alibadilishiwa glass. Utaona anapokea glass ambayo imejaa mwisho wa clip ukilinganisha na ile aliyomnywesha Nyusi.

Sawa kabisa, hakutumia glasi aliyo munywesha Nyusi lakini waswahili kama kawaida yao badala ya kufuatilia/chunguza kwa umakini kwa kile kilicho fanyika pale - wanatuletea stori za kutunga/buni tu.
 
Back
Top Bottom