Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

Motivational speakers bana.
Wanaongea kingese rema kweli yani! Kazi hata kufukuza kuku ni kazi ila unalipwa nini kwa kufanya hio kazi? Fumbo liko hapo!

Ni aibu kukosa kazi kweli unaweza hata kukimbiza mbwa koko mtaani ila unalipwa na paycheck ya nani?
 
Kwenye kukaba kwake sio muda atafunga own goal's'

__________________________

VVD tulimpiga kamba mbili kama amesimama πŸ˜‰
Baba nakuhitaji selfika tafadhali.
NimekutagπŸ˜‰πŸ˜‰.
........
Muache VVD wetu bhana,
Kuna viongozi wameanza uVVD ,,wanakabaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.


Kushangilia CCM sasahivi ni lazima ujing"oe ubongo wako wa kawaida ,uweke pembeni halafu upachike tope kichwani.
 
Reactions: Pep
nanukuu; lakini bado haijatosheleza kutokana na idadi kubwa ya vijana

namshauri samia, awaambie na kuwasisitiza wananchi wake waache kuzaliana kama kuku, wavae condomu.
 
Wanatafuta umaarufu ambao kimsingi tayari wanao.

Hawajui kabisa kuwa kwa maneno yao wanakuwa wanatonesha madonda ya walio wengi wasiyo na ajira.

Anasema vijana wajiajiri wakati hiyo mitaji watu wanaisikia kwenye tbc na channeli ten
Anaongea tu kweli aliyeshiba amkumbuki mwenye njaa
 
Hizo fedha wanagawa kama peremende?
 
We jamaa una matatizo sana, unajua taratibu za kuupata huo mkopo na ni muda gani unachukua mpaka kuupata?
Mwenye matatizo ni wewe au mimi? Kuna mikopo isiyo na taratibu na ambayo ukienda saizi Unapata tuu ?

Nasema hivi endelea kufuga ma jobless kwa sababu mkopo eti unataratibu.
Brainless kabisa kama sio dishi
 

Hakika naona tajiri wetu wa mpunga hausu biri mshahara.
 
swala la ajira hapo pagum sana swala la msing ningeona maan afanye kumaliza miundombinu ya mzee maan kuna fursa kule lakn anaacha analet huk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…