Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

Motivational speakers bana.
Wanaongea kingese rema kweli yani! Kazi hata kufukuza kuku ni kazi ila unalipwa nini kwa kufanya hio kazi? Fumbo liko hapo!

Ni aibu kukosa kazi kweli unaweza hata kukimbiza mbwa koko mtaani ila unalipwa na paycheck ya nani?
 
Kwenye kukaba kwake sio muda atafunga own goal's'

__________________________

VVD tulimpiga kamba mbili kama amesimama 😉
Baba nakuhitaji selfika tafadhali.
Nimekutag😉😉.
........
Muache VVD wetu bhana,
Kuna viongozi wameanza uVVD ,,wanakaba😂😂😂😂😂😂.

Kushangilia CCM sasahivi ni lazima ujing"oe ubongo wako wa kawaida ,uweke pembeni halafu upachike tope kichwani.
 
  • Kicheko
Reactions: Pep
Rais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia"

Ametoa rai hiyo leo Januari 07, 2022 wakati akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Kuhusu changamoto ya Mitaji kwa Vijana amesema kuna Fedha za Halmashauri na Mifuko kadhaa ambayo inatoa Mikopo kwa Vijana imeanzishwa, lakini bado haijatosheleza kutokana na idadi kubwa ya Vijana

nanukuu; lakini bado haijatosheleza kutokana na idadi kubwa ya vijana

namshauri samia, awaambie na kuwasisitiza wananchi wake waache kuzaliana kama kuku, wavae condomu.
 
Wanatafuta umaarufu ambao kimsingi tayari wanao.

Hawajui kabisa kuwa kwa maneno yao wanakuwa wanatonesha madonda ya walio wengi wasiyo na ajira.

Anasema vijana wajiajiri wakati hiyo mitaji watu wanaisikia kwenye tbc na channeli ten
Anaongea tu kweli aliyeshiba amkumbuki mwenye njaa
 
Tunamtia mpiga mwingi aibu

Kweli tunakosa hata kazi za palizi kwenye mashamba yetu ya mboga mboga yaliyotapakaa nchini?
Naona kilimo cha mbogamboga kinaendelea vzr mkuu.Hongera kwa kujiajiri.
Screenshot_20220107-192845.jpg
 
Rais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia"

Ametoa rai hiyo leo Januari 07, 2022 wakati akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Katika hotuba yake amesisitiza, "Naombeni kaangalieni fursa za kazi. Fursa zipo nyingi na ni aibu kijana kukaa bila kazi"

Ameongeza, "Na hapa nitazungumzia chamgamoto inayofuata ambayo ni nyie Vijana kutokujua au kutotumia fursa zilizopo. Hamzitumii kabisa! Niwaombe sana Vijana, kuna fursa nyingi. Piteni Vyuoni mtaelekezwa jinsi ya kuziona fursa hizo"

Kuhusu changamoto ya Mitaji kwa Vijana amesema kuna Fedha za Halmashauri na Mifuko kadhaa ambayo inatoa Mikopo kwa Vijana imeanzishwa, lakini bado haijatosheleza kutokana na idadi kubwa ya Vijana
Hizo fedha wanagawa kama peremende?
 
We jamaa una matatizo sana, unajua taratibu za kuupata huo mkopo na ni muda gani unachukua mpaka kuupata?
Mwenye matatizo ni wewe au mimi? Kuna mikopo isiyo na taratibu na ambayo ukienda saizi Unapata tuu ?

Nasema hivi endelea kufuga ma jobless kwa sababu mkopo eti unataratibu.
Brainless kabisa kama sio dishi
 
Sisi watanzania hapa ndipo tunapo potea!Yaani kwa akili yako unamaanisha shamba jipya uchoka kwa msimu mmoja tu?Pili unamaanisha baada ya kulima msimu wa kwanza bado hautoweka mtaji kutokana na mavuno?.
Kwa taarifa yako tu,mimi mwaka jana nilianza na hekari 1 ya mpunga na sasa nimelima tatu na tayari nimezipanda.
Wewe subiria ajira ya mshahara tu,huku ukizidi kuchelewa mwenyewe.

Hakika naona tajiri wetu wa mpunga hausu biri mshahara.
IMG_20220107_194505.jpg
 
swala la ajira hapo pagum sana swala la msing ningeona maan afanye kumaliza miundombinu ya mzee maan kuna fursa kule lakn anaacha analet huk
 
Back
Top Bottom