Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaongea kingese rema kweli yani! Kazi hata kufukuza kuku ni kazi ila unalipwa nini kwa kufanya hio kazi? Fumbo liko hapo!Motivational speakers bana.
Kulima kisasa unalima kwa hela ya serikali au ya mfukoni mwako? 😅 Graduate aliyesoma kwa mkopo anapata wapi mtaji?Mashamba yapo huku vijijini...vijana mnawaachia wazee. Njooni mjiajiri. Mlime kisasa.
Baba nakuhitaji selfika tafadhali.Kwenye kukaba kwake sio muda atafunga own goal's'
__________________________
VVD tulimpiga kamba mbili kama amesimama 😉
Rais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia"
Ametoa rai hiyo leo Januari 07, 2022 wakati akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Kuhusu changamoto ya Mitaji kwa Vijana amesema kuna Fedha za Halmashauri na Mifuko kadhaa ambayo inatoa Mikopo kwa Vijana imeanzishwa, lakini bado haijatosheleza kutokana na idadi kubwa ya Vijana

nanukuu; lakini bado haijatosheleza kutokana na idadi kubwa ya vijanaRais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia"
Ametoa rai hiyo leo Januari 07, 2022 wakati akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Kuhusu changamoto ya Mitaji kwa Vijana amesema kuna Fedha za Halmashauri na Mifuko kadhaa ambayo inatoa Mikopo kwa Vijana imeanzishwa, lakini bado haijatosheleza kutokana na idadi kubwa ya Vijana
Kuzibua mtaro ni kazi anakulipa nani? Au unazibua tu for free?Hata kuzibua mitaro nayo kazi
Msichague kazi
Ova
"Makamu wa raisi akiwa mchawi anaweza kumroga rais aliyepo madarakani afe ili awe yeye raisi"Hivi wakati anaongea huwa anajielewa kweli
Anaongea tu kweli aliyeshiba amkumbuki mwenye njaaWanatafuta umaarufu ambao kimsingi tayari wanao.
Hawajui kabisa kuwa kwa maneno yao wanakuwa wanatonesha madonda ya walio wengi wasiyo na ajira.
Anasema vijana wajiajiri wakati hiyo mitaji watu wanaisikia kwenye tbc na channeli ten
Naona kilimo cha mbogamboga kinaendelea vzr mkuu.Hongera kwa kujiajiri.Tunamtia mpiga mwingi aibu
Kweli tunakosa hata kazi za palizi kwenye mashamba yetu ya mboga mboga yaliyotapakaa nchini?
Anatembelea Viete zaidi ya miaka 20 atajulia wapi shida za kitaaHivi wakati anaongea huwa anajielewa kweli
Hizo fedha wanagawa kama peremende?Rais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia"
Ametoa rai hiyo leo Januari 07, 2022 wakati akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Katika hotuba yake amesisitiza, "Naombeni kaangalieni fursa za kazi. Fursa zipo nyingi na ni aibu kijana kukaa bila kazi"
Ameongeza, "Na hapa nitazungumzia chamgamoto inayofuata ambayo ni nyie Vijana kutokujua au kutotumia fursa zilizopo. Hamzitumii kabisa! Niwaombe sana Vijana, kuna fursa nyingi. Piteni Vyuoni mtaelekezwa jinsi ya kuziona fursa hizo"
Kuhusu changamoto ya Mitaji kwa Vijana amesema kuna Fedha za Halmashauri na Mifuko kadhaa ambayo inatoa Mikopo kwa Vijana imeanzishwa, lakini bado haijatosheleza kutokana na idadi kubwa ya Vijana
Hahahahahahahahahah hawa ndio wale motivesheno speaker humu!Naona kilimo cha mbogamboga kinaendelea vzr mkuu.Hongera kwa kujiajiri.View attachment 2072363
Mtumishi mwenzangu Pep ,hivi ulisoma haya maoni ya mwamba wetu Chalamila?😂😂😂"Makamu wa raisi akiwa mchawi anaweza kumroga rais aliyepo madarakani afe ili awe yeye raisi"
Mwenye matatizo ni wewe au mimi? Kuna mikopo isiyo na taratibu na ambayo ukienda saizi Unapata tuu ?We jamaa una matatizo sana, unajua taratibu za kuupata huo mkopo na ni muda gani unachukua mpaka kuupata?
Ndio maana ana hofu ya uchanguzi huyu. Kazi zipo nyingi wakati wameshindwa kuajiri miaka mitano sasa wanamwela tu.Hivi wakati anaongea huwa anajielewa kweli
Ukishazibua mitaro lazima ulipwe kamandaKuzibua mtaro ni kazi anakulipa nani? Au unazibua tu for free?
Sisi watanzania hapa ndipo tunapo potea!Yaani kwa akili yako unamaanisha shamba jipya uchoka kwa msimu mmoja tu?Pili unamaanisha baada ya kulima msimu wa kwanza bado hautoweka mtaji kutokana na mavuno?.
Kwa taarifa yako tu,mimi mwaka jana nilianza na hekari 1 ya mpunga na sasa nimelima tatu na tayari nimezipanda.
Wewe subiria ajira ya mshahara tu,huku ukizidi kuchelewa mwenyewe.