Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

Inabidi aonyeshe mfano hai.
Aache uongozi na asilipwe chochote,aingie mtaani akiwa hana hata mia mkononi..atuonyeshe graduates namna ya kutumia fursa.
Hapo tutamuelewa
 
Hahahah tajiri wa mpunga aliyelima bila mtaji ila anatafta uhamisho wa halmashauri!
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ malofa Sana haya majamaa mkuu,Lina uhakika wa TGS huko halmashauri halafu linaongea kujiajiri na blah blah blah kibao.
 
Kama vipi! Urais kuanzia Miaka 18, tume iwe huru tuondokane na hizi aibu.
 
Sisi watoto wa masikini kilio chetu kuna siku kitasikika tu maana tunasoma kwa shida ajira hakuna na unakuta mtu kapata ajira kwa koneksheni maana ni mtoto wa kibopa fulani arafu hajawahi ijua shida ni nn hata akitutukana kulala njaa ni uzembe ni sawa tu maana hawajui kuna kukosa acha tukejeliwe si sisi si ndo tunawachagua watuboreshee maisha wanaishia kutusimanga ila poa tu one day yes.
 
Akikuonesha ni TAG
 
Kavuta bangi,au huwa Kuna kitu kimezama sehemu tofauti,
Mtoto gani wa mkubwa akimaliza shule anatembea bahasha kutafuta ajira,au anauza flemu Kariakoo,au anaendesha boda boda,
Watoto wao wamejazana bot,TRA,Bandari,nssf,gepf,balozini,
Af nyie wanyonge ndio mpambane na umachinga maana kazi hakuna πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…