Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

Kama vipi! Urais kuanzia Miaka 18, tume iwe huru tuondokane na hizi aibu.
 
Sisi watoto wa masikini kilio chetu kuna siku kitasikika tu maana tunasoma kwa shida ajira hakuna na unakuta mtu kapata ajira kwa koneksheni maana ni mtoto wa kibopa fulani arafu hajawahi ijua shida ni nn hata akitutukana kulala njaa ni uzembe ni sawa tu maana hawajui kuna kukosa acha tukejeliwe si sisi si ndo tunawachagua watuboreshee maisha wanaishia kutusimanga ila poa tu one day yes.
 
Huyu mama ni mpuuzi sana,atuonyeshe mtoto wa waziri,Mbunge,nk anayechakalika na kazi za jua kali,
Watoto wa wakubwa hutafutiwa kazi,voda,total,TRA,mifuko ya jamii,
Atuambie mtoto wa mkubwa gani anasoma shule za kata,kutibiwa hizi hospitari zetu za hovyo.
Akikuonesha ni TAG
 
Back
Top Bottom