mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Ah ntaziziba machemba kimchongo ili wanitafute wenyewe kuwazibuliaUtaendesha maisha kwa kibarua cha msimu?
Una force King tu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah ntaziziba machemba kimchongo ili wanitafute wenyewe kuwazibuliaUtaendesha maisha kwa kibarua cha msimu?
Hapo tutamuelewaInabidi aonyeshe mfano hai.
Aache uongozi na asilipwe chochote,aingie mtaani akiwa hana hata mia mkononi..atuonyeshe graduates namna ya kutumia fursa.
Hahahah tajiri wa mpunga aliyelima bila mtaji ila anatafta uhamisho wa halmashauri!Hakika naona tajiri wetu wa mpunga hausu biri mshahara.View attachment 2072388
😄😄😄 malofa Sana haya majamaa mkuu,Lina uhakika wa TGS huko halmashauri halafu linaongea kujiajiri na blah blah blah kibao.Hahahah tajiri wa mpunga aliyelima bila mtaji ila anatafta uhamisho wa halmashauri!
Rubbish,namtetea Samia with free will bila pay yoyote Nina maisha yangu kabisaa hayahusiani na siasa.Subiria buku 7 yako ya lumumba msenge baridi ww
Kwanza umelipa leseni na Kodi maana tunahitaji kutoa hesabu ya kota ya pili.😄😄😄 malofa Sana haya majamaa mkuu,Lina uhakika wa TGS huko halmashauri halafu linaongea kujiajiri na blah blah blah kibao.
Wanatusanifu humu😅😄😄😄 malofa Sana haya majamaa mkuu,Lina uhakika wa TGS huko halmashauri halafu linaongea kujiajiri na blah blah blah kibao.
Kwa nn haijielewiHivi wakati anaongea huwa anajielewa kweli
Jinga Sana hawa.Wanatusanifu humu[emoji28]
Akikuonesha ni TAGHuyu mama ni mpuuzi sana,atuonyeshe mtoto wa waziri,Mbunge,nk anayechakalika na kazi za jua kali,
Watoto wa wakubwa hutafutiwa kazi,voda,total,TRA,mifuko ya jamii,
Atuambie mtoto wa mkubwa gani anasoma shule za kata,kutibiwa hizi hospitari zetu za hovyo.
[emoji1][emoji1][emoji1] hesabu za Kota ya pili mwezi wa 1?Kwanza umelipa leseni na Kodi maana tunahitaji kutoa hesabu ya kota ya pili.
Tena Mimi naona hio nafasi apewe yule msani young D tuwe tunajilipua na ndumu tu tumechoka kutumia makushabu aiseeKama vipi! Urais kuanzia Miaka 18, tume iwe huru tuondokane na hizi aibu.
Kumbe,ripoti inayoishia desemba 31 tunatoa mwezi wa kwanza[emoji1][emoji1][emoji1] hesabu za Kota ya pili mwezi wa 1?
Af nyie wanyonge ndio mpambane na umachinga maana kazi hakuna 😅😅😅Kavuta bangi,au huwa Kuna kitu kimezama sehemu tofauti,
Mtoto gani wa mkubwa akimaliza shule anatembea bahasha kutafuta ajira,au anauza flemu Kariakoo,au anaendesha boda boda,
Watoto wao wamejazana bot,TRA,Bandari,nssf,gepf,balozini,
Unaongelea nini mzee? Financial year ya Tra au income year ya kwangu?Kumbe,ripoti inayoishia desemba 31 tunatoa mwezi wa kwanza
Ila anaongea hayo,yeye amekaa ikulu kama Malkia huku anatoa kejeli hizo kwa graduates!Hapo tutamuelewa