Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa


Tofautisha kustaafu na kujiuzulu.
 
Inawezekana
 
Sio aibu tu, Bali ni fedheha.
Yaani kwa fursa zilizopo Tanzania kijana unakosaje kazi.

Umeshindwa kulima,
Umeshindwa kufuga,
Umeshindwa hata kutengeneza funza uwauizie wafugaji kuku.
Umeshindwa kutengengeneza hydroponic folder uwauzie wafugaji.
Umeshindwa hata kutafuta pori ukapande majani ya ng'ombe(hayahitaji mbolea Wala kumwagilia) upige hela

Ukiziorodhesha zinaweza zikafika laki Saba
 
Ukiwa masikini wa fikra ni ngumu kuona fursa
 
Ameongea ajiraaa au kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…