Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
UVCCM ndio walitaka aondoke!Bavicha watashangilia sana! Maana kauli hiyo inamhusu Ndugai
Idugunde Elitwege Sang'udi johnthebaptist Suphian Juma Kilatha Jumbe Brown Stuxnet wanafahamu hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UVCCM ndio walitaka aondoke!Bavicha watashangilia sana! Maana kauli hiyo inamhusu Ndugai
Bavicha watashangilia sana! Maana kauli hiyo inamhusu Ndugai
Benefits za Ndugai ni hizi-
*80% ya mshahara wa Spika mpaka kufa kwake!
*VXV8 linakuwa lake
*Analipiwa dereva mpaka kifo
*Lita 70 kila wiki
*Anapewa ulinzi mpaka mauti
*Bado atapata kiinua mgongo kama Mbunge!
Halafu Bado unasema kauli hiyo inamuhusu Ndugai,pumbav kabisa!
Ndugai sio kijana. Hiyo post haimuhusuBavicha watashangilia sana! Maana kauli hiyo inamhusu Ndugai
Bavicha watashangilia sana! Maana kauli hiyo inamhusu Ndugai
Huyu naye awe ananyamaza tuHayo ameyasema leo huko Zanzibar.
Maoni yangu;
Hiyo ni kauli ya kejeli kwa vijana hasa wasio na ajira.
Bavicha watashangilia sana! Maana kauli hiyo inamhusu Ndugai
InawezekanaKuna watu wengi sana hawana ajira mtaani, kuanzia vijana mpaka wazee.
Kuanzia wasomi mpaka wasiokuwa wasomi.
Hivi hakuna kampuni au namna yoyote ile inaweza kufanywa na watu au mtu mwenye uwezo akawatumia hawa watu wasio na ajira?
Watu wasio na ajira ni wengi sana, hakuna namna ya kuwatumia watu hawa kutengeneza pesa?
Bavicha watashangilia sana! Maana kauli hiyo inamhusu Ndugai
Ndugai siyo lkijana, halafu ni mbunge.Bavicha watashangilia sana! Maana kauli hiyo inamhusu Ndugai
Ukiwa masikini wa fikra ni ngumu kuona fursaSio aibu tu, Bali ni fedheha.
Yaani kwa fursa zilizopo Tanzania kijana unakosaje kazi.
Umeshindwa kulima,
Umeshindwa kufuga,
Umeshindwa hata kutengeneza funza uwauizie wafugaji kuku.
Umeshindwa kutengengeneza hydroponic folder uwauzie wafugaji.
Umeshindwa hata kutafuta pori ukapande majani ya ng'ombe(hayahitaji mbolea Wala kumwagilia) upige hela
Ukiziorodhesha zinaweza zikafika laki Saba
Wee vp?Kwanza alishatumikia miaka mitano ya kwanza,amejiuzulu kipindi Cha pili!Tofautisha kustaafu na kujiuzulu.
Acha nyegeBavicha watashangilia sana! Maana kauli hiyo inamhusu Ndugai
Hakuna asiye taka Kazi shida mifumo yetu sio wezeshi kufanya Kazi kama ilivyo kwa wenzetuHuyu naye awe ananyamaza tu
Kuna kijana hataki kazi kweli ??!
Ameongea ajiraaa au kazi.Kuna watu wengi sana hawana ajira mtaani, kuanzia vijana mpaka wazee.
Kuanzia wasomi mpaka wasiokuwa wasomi.
Hivi hakuna kampuni au namna yoyote ile inaweza kufanywa na watu au mtu mwenye uwezo akawatumia hawa watu wasio na ajira?
Watu wasio na ajira ni wengi sana, hakuna namna ya kuwatumia watu hawa kutengeneza pesa?
Ikivuma sanaHayo ameyasema leo huko Zanzibar.
Maoni yangu;
Hiyo ni kauli ya kejeli kwa vijana hasa wasio na ajira.