Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

HAHAH aisee Rais yeye ndio anatakiwa kuona aibu kuongoza taifa la vijana wasio na ajira wanaokadiriwa kuwa 70%.
Kweli madaraka matamu leo hii samia anawashangaa vijana wasio na ajira?
Hivi hao vijana watajiajiri vipi ikiwa bidhaa ambazo wangenunua na kuuza zimepandishwa kodi na bei juu?
Vijana wataajiriwa na nani ikiwa makampuni yanayofanya baishara huduma na bidhaa kodi ziko juu?

Kimsingi Rais afanye jambo moja kwenye ile dola billion elfu sita kila kijana apewe million moja.
 
Mama alivumiliaaaa maneno ya kejeli kutoka Kila Kona Sasa kaanza kuchomoa betri Kila Kona ili mumjue vizuri
 
Ati.....wait....

Ajira zimefanyaje vile? Uwiiiiiiii

Hizi dharau au kebehi?
Katiba Mpya ni jawabu la mambo yote
 

Ugomvi huo
 
Atusaidie macho ya kuona fursa, mbona hataji huzo fursa zilizopo? kwenye kilimo serkali wamevuruga, kwenye biashara ndo kabisa.. atusaidie hizo fursa alizoziona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…