TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Lazima tukae kwenye mkeka tueleweshwe. Kama kazi zipo ama vijana ni wengi?Kuhusu changamoto ya Mitaji kwa Vijana amesema kuna Fedha za Halmashauri na Mifuko kadhaa ambayo inatoa Mikopo kwa Vijana imeanzishwa, lakini bado haijatosheleza kutokana na idadi kubwa ya Vijana
Tatizo vijana wengi wameelekeza nguvu zao, muda na maarifa mitandaoni. Hawataki kujishughulisha na kazi ya mikono au akili, muda mwingi wanautumia kuwapigania na kuwatetea wanasiasa wachovu ambao wengine wanaishi Ulaya kula bure, kulala bure nk. Wanasiasa hawa hawana msaada wowote wa maana kwao na familia zao. Sana sana wanaishia kutumiwa vijibando tu mtandaoni na buku buku ya kula.
Mtoto wake wanu hafidh Ameer ni mbunge, mume wa wanu ni mbunge na waziri(mchengerwa)Ukifuatilia utakuta watoto wao wana ajira mzuri sana na ndugu na familia zao wamewajaza serikalini.
Lazima tukae kwenye mkeka tueleweshwe. Kama kazi zipo ama vijana ni wengi?
Huku Mkwe wake akiwa waziri na binti yake akiwa mbunge.
Tunaponya nchi.
Mkuu Biblia inasema asiyetaka kufanya kazi na asile. Sio asiyefanya kazi. Kumaanisha kama kuna kazi na ukakataa kufanya hiyo ndo shida.Asiyefanya kazi asile by Biblia
Lakini siyo kwamba asiye na ajira asile.
Hakuna namnaa![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] nononono
kwa hiyo mkuu kwako wewe haiwezekani kumpa mtaji mwanao au mkwe wako wakiwa kwenye nyakati ngumi na wewe uwezo unao...
Lakini pia wapi pameandikwa ukiwa Rais au kiongozi wa umma basi member wa familia yako hawapaswi kuwa na hizo nyadhifa...
Huo ni uthibitisho kuwa anachoongea ni tofauti na nafsi yakeMwanawe ni mbunge
Kwa ccm hii usitegemee kitu kama hichoFursa bila mazingira wezeshi ni bure,wajenge miundombinu ya kujiajiri
Umeonaeeeeee?Mtoto wake wanu hafidh Ameer ni mbunge, mume wa wanu ni mbunge na waziri(mchengerwa)
Aache hizo
Ccm na umasikini ni pachaKwa ccm hii usitegemee kitu kama hicho
Unafanyaje kazi bila kula au atatulisha bure ili tufanye kazi zozote zilizo mbele yetu😅 sababu hata kumzomea ndugai ni kazi ila ukiifanya inapaswa uwe na hela ya kula njaa ikikuuma!Yupo sahihi vipi mtu unakua huna kazi, mfano rahisi hizi taka ukizifanyia kazi zinaweza kua mbolea.
Bila ccm tanzania tusingeweza kubakia kwenye umasikini huu tulio naoCcm na umasikini ni pacha
Mbna yeye hataki kuwaachia vijana uraisi.Hayo ameyasema leo huko Zanzibar.
Maoni yangu;
Hiyo ni kauli ya kejeli kwa vijana hasa wasio na ajira.
Wanajiponya wao kwani 11m kila mwezi wakati machinga kwa mwezi hata 500k hakusanyiHuku Mkwe wake akiwa waziri na binti yake akiwa mbunge.
Tunaponya nchi.
Kazi zipo ila malipo ndio hamna na hakuna mtu anayetaka fanya kazi ya bure hata huo uraisi ukiondolewa maslahi ya pesa akawa anaamkia ofisini na kwenda site bila kulipwa sidhani kama ataendelea kuhudumu!Mkuu Biblia inasema asiyetaka kufanya kazi na asile. Sio asiyefanya kazi. Kumaanisha kama kuna kazi na ukakataa kufanya hiyo ndo shida.
Kwa mara ya kwanza nakupongeza kwa kuongea pointSasa kulikua na ulazima gani wa kuwaondoa machinga mtaani waliokwisha anza kujiajiri??
Ulevi wa madaraka ni mbaya sana😅 watu wanapambana kufa na kupona wapate japo kula tu! Yeye analeta kejeli na vijana dah.Mhh laiti mama angejua kitaa kulivyo asingesema hivyo..