Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

Benefits za Ndugai ni hizi-
*80% ya mshahara wa Spika mpaka kufa kwake!
*VXV8 linakuwa lake
*Analipiwa dereva mpaka kifo
*Lita 70 kila wiki
*Anapewa ulinzi mpaka mauti
*Bado atapata kiinua mgongo kama Mbunge!

Halafu Bado unasema kauli hiyo inamuhusu Ndugai,pumbav kabisa!
Halafu Ndugai bado ni Mbunge!!! Alichojiuzulu ni Uspika tu!!!! Sijui kwa nini watu hawaelewi
 
Kama vipi! Vijana wasio na kazi wauzwe nje ya nchi kama mbolea!
😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😊😊😊😊😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅 mtt qouma kweli ww nimecheka sana kmmmmk dah 😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂🤣😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hayo ameyasema leo huko Zanzibar.

Maoni yangu;

Hiyo ni kauli ya kejeli kwa vijana hasa wasio na ajira.
Mama Yuko sahihi kabisa.. yani Mimi siamini kabisa kama MTU unaweza kosa kazi ya kukuingizia chochote ukiwa sio kilema wala nin.. wengi tumejifunga kichwani tuu Ila kazi zipo

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Sio aibu tu, Bali ni fedheha.
Yaani kwa fursa zilizopo Tanzania kijana unakosaje kazi.

Umeshindwa kulima,
Umeshindwa kufuga,
Umeshindwa hata kutengeneza funza uwauizie wafugaji kuku.
Umeshindwa kutengengeneza hydroponic folder uwauzie wafugaji.
Umeshindwa hata kutafuta pori ukapande majani ya ng'ombe(hayahitaji mbolea Wala kumwagilia) upige hela

Ukiziorodhesha zinaweza zikafika laki Saba

Nauza mavi ya familia,yapo kwny karo limejaa hapa home.Njoo uyanunue motivational speaker.
 
Rais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia"

Ametoa rai hiyo leo Januari 07, 2022 wakati akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Kuhusu changamoto ya Mitaji kwa Vijana amesema kuna Fedha za Halmashauri na Mifuko kadhaa ambayo inatoa Mikopo kwa Vijana imeanzishwa, lakini bado haijatosheleza kutokana na idadi kubwa ya Vijana
Kama kazi ziko nyngi, mbona yeye anachachawa wenzake wanapowaza urais 2025? Si na yeye ajiande kuchacharika kutafuta ajira?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] mtt **** kweli ww nimecheka sana kmmmmk dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna namnaa, ndio solution ya kukabiliana na hili tatizo!
 
Bila ccm tanzania tusingeweza kubakia kwenye umasikini huu tulio nao
Masharti ya bagamoyo mkitaka UHURU mtapata lakini lazima muwe masikini.
So bila kumuondoa amaleki ngumu kutoka,but 2025 amaleki anafungasha kwao.
 
Back
Top Bottom