Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha utaahira. Nani kakwambia Ndugai hana ajira? Ndugai ni Mbunge wa Kongwa. Unafahamu mshahara na marupurupu ya Mbunge????Bavicha watashangilia sana! Maana kauli hiyo inamhusu Ndugai
Halafu Ndugai bado ni Mbunge!!! Alichojiuzulu ni Uspika tu!!!! Sijui kwa nini watu hawaelewiBenefits za Ndugai ni hizi-
*80% ya mshahara wa Spika mpaka kufa kwake!
*VXV8 linakuwa lake
*Analipiwa dereva mpaka kifo
*Lita 70 kila wiki
*Anapewa ulinzi mpaka mauti
*Bado atapata kiinua mgongo kama Mbunge!
Halafu Bado unasema kauli hiyo inamuhusu Ndugai,pumbav kabisa!
😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😊😊😊😊😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅 mtt qouma kweli ww nimecheka sana kmmmmk dah 😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂🤣😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama vipi! Vijana wasio na kazi wauzwe nje ya nchi kama mbolea!
Ulevi wa madaraka ni mbaya sana[emoji28] watu wanapambana kufa na kupona wapate japo kula tu! Yeye analeta kejeli na vijana dah.
Dongo la wana Kongwa iloo
Acha tu mkuu sipati picha huko chaman kwenu kupojeMama sasa apigi pasi anakaba tu.
Mama Yuko sahihi kabisa.. yani Mimi siamini kabisa kama MTU unaweza kosa kazi ya kukuingizia chochote ukiwa sio kilema wala nin.. wengi tumejifunga kichwani tuu Ila kazi zipoHayo ameyasema leo huko Zanzibar.
Maoni yangu;
Hiyo ni kauli ya kejeli kwa vijana hasa wasio na ajira.
Sio aibu tu, Bali ni fedheha.
Yaani kwa fursa zilizopo Tanzania kijana unakosaje kazi.
Umeshindwa kulima,
Umeshindwa kufuga,
Umeshindwa hata kutengeneza funza uwauizie wafugaji kuku.
Umeshindwa kutengengeneza hydroponic folder uwauzie wafugaji.
Umeshindwa hata kutafuta pori ukapande majani ya ng'ombe(hayahitaji mbolea Wala kumwagilia) upige hela
Ukiziorodhesha zinaweza zikafika laki Saba
Kama kazi ziko nyngi, mbona yeye anachachawa wenzake wanapowaza urais 2025? Si na yeye ajiande kuchacharika kutafuta ajira?Rais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia"
Ametoa rai hiyo leo Januari 07, 2022 wakati akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Kuhusu changamoto ya Mitaji kwa Vijana amesema kuna Fedha za Halmashauri na Mifuko kadhaa ambayo inatoa Mikopo kwa Vijana imeanzishwa, lakini bado haijatosheleza kutokana na idadi kubwa ya Vijana
Samia Suluhu alipaswa kujiuzuru kabla ya Job ndugaiHaya ndiyo madhara makubwa sana ya viongozi kulewa madaraka na kujua kuwa hata akitamka maneno ya maudhi hakuna atakachofanywa.
Amekusikia maana nasikia yupo vizuri sana kupitia pitia hapa jamvini
Hakuna namnaa, ndio solution ya kukabiliana na hili tatizo![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] mtt **** kweli ww nimecheka sana kmmmmk dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo kwenye korido za lumumba kuna vijiji, na je bei ya pembejeo unaijua?Mashamba yapo huku vijijini...vijana mnawaachia wazee. Njooni mjiajiri. Mlime kisasa.
Sijui wanataka watu wawe vibaka[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]Sasa kulikua na ulazima gani wa kuwaondoa machinga mtaani waliokwisha anza kujiajiri??
Masharti ya bagamoyo mkitaka UHURU mtapata lakini lazima muwe masikini.Bila ccm tanzania tusingeweza kubakia kwenye umasikini huu tulio nao