Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Your browser is not able to display this video.

Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?

Bonus 🤣🤣
 
Mimi nikiri kabisa kuwa hakuna waziri ninaemchukia kama huyu mama. Sina chuki personal ila nauchukia mfumo wa elimu Tanzania na naona kabisa kikwazo cha kwanza ni huyu waziri.

Yani huyu ni zero brain kabisa ilifaa awe anavua migebuka ziwani huko.
 
Kungekuwa na utaratibu mtu akichaguliwa kuwa tutorial assistant basi apelekwe nje angalau kwa miaka miwili aka-brush kimalkia chake!
 
Ona hapa Hayati Magufuli enzi za uhai wake nae alikua ni miongoni mwa PHd zilizokua mahututi mbele ya english....

Sikiliza utumbo huu:

"We have approximately thirty ferries and the one which is working is more than twenty nine..." hesabu hiyo umeielewa?

Angalia kuanzia dakika 1:20 link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…