Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona hapa Hayati Magufuli enzi za uhai wake nae alikua ni miongoni mwa PHd zilizokua mahututi mbele ya english....
Sikiliza utumbo huu:
"We have approximately thirty ferries and the one which is working is more than twenty nine..." hesabu hiyo umeielewa?
Angalia kuanzia dakika 1:20 link
Kwa kiwango cha elimu aliyonayo yaani Profesa na english anayoiongea ni Mbingu na Ardhi.Hawa ndio wanadhalilisha mtu Kuwa na Ph.D; kwasababu hawaendani na heshima ya kisomo cha kiwango hicho!!! Hii ndio hasara ya kusoma degree ya kwanza mpaka kutunukiwa Ph.D Chuo kimoja[ UDSM}!!!! Wengi wa namna hii wanapata taabu sana kwa kukosa exposure!!!
Amesema Kazi IendeleeAmesemaje mkuu?
Huyu mother tongue imemuathiri hawezi kubadilika hata akakae USA bado hawezi kubadilika. Kama wasukuma wa mwanza wanaandika "Baba" ila wanasoma "Bhabha".
Kwani kingeleza ndio kipimo cha weledi au taaluma kichwani?View attachment 2046608
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
siku alipokuja ramaphosa ndio siku ya kwanza kujua huyu mama ni popoma
PhD ihakikiwe.Ana kiingereza dhaifu sanaView attachment 2046608
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
From form 1 to form 6 alikua anasoma mathematics tu?Kazini huko alikua anaongelea mahesabu tu?
1.Hapana,alikuwa anasoma masomo yote yaliyokuwa yanatumia Kiingereza kama lugha ya kufundishia isipokuwa Kiswahili (form 1-4).From form 1 to form 6 alikua anasoma mathematics tu?Kazini huko alikua anaongelea mahesabu tu?
amesoma mathematics,kwa hiyo Joyce anajifunza kizungu ambacho amekitumia toka sekondari? akili zingine bana
Prof. Mwandosya unamfahamu?Unajua alisomea kitu gani?Ulishawahi kukisikia kiingereza chake akiongea?1.Hapana,alikuwa anasoma masomo yote yaliyokuwa yanatumia Kiingereza kama lugha ya kufundishia isipokuwa Kiswahili (form 1-4).
2.Kazini kama Mwalimu/Lecturer alitumia Kiingereza chenye lugha za kimahesabu zaidi kuliko mazungumzo ya utetezi/majadiliano yenye kariba ya ujamii, usiasa au diplomasia.
Fanya utafiti ndogo tu kwenye vyuo vyetu karibu vyote nchini utagundua hata lugha ya wanayotumia wanajumuiya ya vyuo vyetu katika kuchangamana tofauti na kufundishia au kufundisha ni Kiswahili.
Na sababu ni moja kuwa Lugha ya Taifa ni Kiswahili, hivyo walio wengi wanapokuwa wanazungumza Kiingereza wanakuwa ni wenye kufanya Tafsiri ya neno /maneno kichwani ndipo utamka.
Hivyo Prof. yuko sawa kabisa, wapo ambao hawawezi kutamka with confidence maneno /matamshi ingawa ni mabingwa wa Linguistic.
View attachment 2046608
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
huyo jamaa yupo sahihi unambishia tu,Ndalichako hajuagi mpaka leo wizara yake ni ya elimu sayansi na teknolojia, yeye hudhani ni wizara ya elimu tu na bado hata hapo kwenye Elimu ameshindwa kufanya maboresho elimu yetu ni taka takaHuoni wewe kama ndio mpumbavu!?
Huu mfumo wa elimu kauleta ndalichako? Si ni huu upo tangu enzi za kina kikwete?
Hivi waziri si anatekeleza tu yaliyoko kwenye mipango na mikakati ya selikali?
Exposure na International interaction kwenye mavyuo makubwa na wadau mbalimbali wa mawasiliano.Prof. Mwandosya unamfahamu?Unajua alisomea kitu gani?Ulishawahi kukisikia kiingereza chake akiongea?
Amesoma PhD yake chuo kikuu cha Alberta nchini Canada (1993-1997).Hawa ndio wanadhalilisha mtu Kuwa na Ph.D; kwasababu hawaendani na heshima ya kisomo cha kiwango hicho!!! Hii ndio hasara ya kusoma degree ya kwanza mpaka kutunukiwa Ph.D Chuo kimoja[ UDSM}!!!! Wengi wa namna hii wanapata taabu sana kwa kukosa exposure!!!
Amesoma PhD yake chuo kikuu cha Alberta nchini Canada (1993-1997).
Tatizo kubwa la huyu mama hana ubunifu na pia hayuko aggressive hata kutafuta watu makini wa kumsaidia, aige kwa Prof Mwenzake yule Waziri wa Kilimo, yaani jamaa ni sharp, aggressive and very smart.Mimi nikiri kabisa kuwa hakuna waziri ninaemchukia kama huyu mama. Sina chuki personal ila nauchukia mfumo wa elimu Tanzania na naona kabisa kikwazo cha kwanza ni huyu waziri.
Yani huyu ni zero brain kabisa ilifaa awe anavua migebuka ziwani huko.