Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

View attachment 2046608

Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
Tangazo la Haki Elimu Profesa Ndalichako ndiye kigezo cha utukufu kwenye usomi! Mabinti wanashawishiwa wasome mpaka wafikie kiwango cha Profesa Ndalichako.
Haki Elimu
 
I don’t think and/or believe speaking good English (as the Brits do) as the measure of intelligence.... Why can’t we embrace our own languages?
Hakuna kitu hicho, mbona rafiki zenu Wachina wanajifunza kiswahili, Magufuli alikuwa hajui kiingereza akajitahidi sana kutushawishi eti tuongee kiswahili tu tuzikatae lugha nyingine, Magufuli huyohuyo anazunguka akigawa vitabu vya kiswahili eti wajifunze huku hatuwezi kuwasiliana na hao tunaotaka tuwafundishe!
 
Kama science yoyote inafuata logic, huwezi tenganisha grammar na logic. Tunawasilisha truth through language na bila grammar ni ngumu kuwasilisha ukweli. Mfano Ktk physics;

a) For every action there is an equal and opposite reaction.
b)For every action there was an equal and opposite reaction.
c) For every action there will never be an equal and opposite reaction.

Hizi sentensi hazinafanani kwa sababu ya grammar. Sasa wabongo watatetea eti sayansi hahihitaji lugha. Without good language (as a medium) truth can neither be learnt nor be commuicated.
 
Hivi huwa mnakaa na kutetea ujingaujinga ili iweje?Kuanzia darasa la tatu hadi kuwa profesa ameshindwa kuijua hiyo lugha?Huyo ni mdumavu wa akili.Miaka karibia ishirini hajaielewa lugha? Mbona kitoto cha miaka mitano tu kinafunzwa lugha(yoyote duniani) na kuelewa vizuri?Kutetea upumbavu ni kuwa sehemu ya upumbavu au ya mpumbavu.Kasirika!
Kiuweledi sina haja ya kukasirika hayo ni maoni yako yawe ya staha, hasira, mpayuko, kuvimba, n.k swali linabaki so what? tofauti baina yetu zitadumu na ndio hivyo Mungu kaumba, David Beckam faces the same about his English and he is a British.
 
View attachment 2046608

Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
Akishuka jukwaani kuna watu watakwenda kumshika mkono kumpongeza na kumsifia "mama umetiririka safi sana hapa dunia imetuelewa tuko vizuri"
 
Acheni kusumbua mnajua Syntax nyie? tulieni na Joyce ni kichwa hapimiwi na Utopolo wa malkia. Kuna English bongo acheni hizo Bongo English ni Utopolo tu
 
Sasa hapa HakiElimu ndio tuseme walikosa kabisa mifano mingine ya Wasomi nchini mpaka wakamuamua kumtolea Mfano Prof Ndalichako kwenye Tangazo lao linaloendelea saiz RFA? Eti mmama anamwambia mwanae soma ukuwe msomi kama profesa Joyce ...Sidhani kama Mzee John K wa Hakielimu aliliaprove Tangazo Hilo.
 
Kusoma unasoma kumombo, interview kimombo ila kazi zinafanyika kiswahili.
Prof. yupo sawa kabisa.
 
View attachment 2046608

Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
Mi simkubali toka yupo Baraza la mitihani na Magufuli alivyompa uwaziri akaanza kujifaragua sasa ivi kimya anaogopa kutoa makucha pimbi huyu
 
Kwani kingeleza ndio kipimo cha weledi au taaluma kichwani?
Unaweza ukajua kingeleza kizuri kabisa lakini madini kichwani hamna. Na unaweza usijue hicho kingeleza chenu lakini kichwani madini matupu. Kingeleza ni lugha tu kama kishwahili nk, nk na sio kipimo cha weledi wa mtu.
Hoja dhaifu, huwezi soma ukawa na elimu kama yake na lugha ya ufundishaji ni kingereza halafu unazungumza kingereza kibovu kuliko hata mtoto wa nursery wa english medium.
Hatutegemei azungumze kama mzungu lakini azungumze kingereza kinachoeleweka. Azungumze kama cha profesa Rwaitama japo kina tone ya kilugha lakini unaelewa huyu anazungumza hivi. Kama waganda wanazungumza kingereza kina tone ya kiganda
 
PhD yake na fluency kwenye English havina uhusiano kabisa, huenda ikawa English kwake ilikua option tu kwa ajili ya Masomo

Acheni chuki, tatizo mliaminishwa ukijua kuongea kingereza ndio kuwa smart kichwani

Sema Prof akitoka hapo lazima akameze panadol🤣
Aongeee Swahili anajitutumua nn sasa
 
Mtoa mada embu jaribu kumsikiliza Mzungu aliyejifunza kiswahili then msikilize, ukikuta anazungumza kwa ufasaha ndio uje uhitimishe kuwa lugha ndio kipimo cha uelewa wa mtu. Lugha ambayo sio mother tongue huwa inasumbua wote.
Kumbuka huyo Mzungu Kiswahili kajifunza ukubwani na hakujifunza shule.Kwa umri wa Ndalichako maneno na sentensi za Kingereza kaziona na kuziandika kwa zaidi ya miaka 20. Kwahiyo usifananishe na huyo Mzungu aliyeona maneno na sentensi za Kiswahili kwa mwaka mmoja.Ushauri kwa mama yangu ajitahidi kusoma vitabu vya hiyo lugha kwa wingi ili aweze kupata misamiati kwa wingi na pia kuweza kutengeneza sentensi za hiyo lugha.
 
Back
Top Bottom