Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufundisha mahesabu ya engineeering unahitaji kujieleza kwa kiasi gani zaidi ya kushuka calculations, unataka kusema waziri ni bubu wakati tunamsikia akiongea kila mara.........haya mambo ya maelezo meeeeengi mnayo nyinyi huko mangwini, huku kwenye science tuna deal na facts tu hatuna longolongo nyingi.............Ni sawa kabisa kama utafanya kazi za ofisini na viwandani lakini siyo kuwa mwalimu wala mwanasiasa kwa kuwa utashindwa kujieleza na kueleweka na hivyo kuwapa tabu wanafunzi wako na wananchi kwa ujumla.
Ukiacha effect ya "mother tongue" ,flow yake haieleweki.
Hicho kipande amechanganya mambo mengi,kiufupi haeleweki!
Awe mjumbe kwenye kamati huko.Hapo kwenye Elimu hatoshi.
Ona hapa Hayati Magufuli enzi za uhai wake nae alikua ni miongoni mwa PHd zilizokua mahututi mbele ya english....
Sikiliza utumbo huu:
"We have approximately thirty ferries and the one which is working is more than twenty nine..." hesabu hiyo umeielewa?
Angalia kuanzia dakika 1:20 link
Hao wananunua vyuo vya mitaaniPhd watu wananunua machapisho wala msiogope kuona mtu ana phd siku hizi....kuna mama mmoja nilikuwa nafanya nae kazi huko katavi yeye aliniambia masters yake aliinunua million 11....
Imagine saini yake ipo kwenye vyeti vyetu vya 4m 4View attachment 2046608
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
nawaona wasomi wasiojua kizungu mkijiteteaKufundisha mahesabu ya engineeering unahitaji kujieleza kwa kiasi gani zaidi ya kushuka calculations, unataka kusema waziri ni bubu wakati tunamsikia akiongea kila mara.........haya mambo ya maelezo meeeeengi mnayo nyinyi huko mangwini, huku kwenye science tuna deal na facts tu hatuna longolongo nyingi.............
Huna haja ya utetezi wote huo, kiingereza cha Prof Ndalichako ni dhaifu sana kwa elimu na uzoefu wake. Wahadhiri wote lugha yao ya kufundishia ni kiingereza kwa sehemu kubwa, sasa kwa hiyo english aliwezaje? Hakuna kiingereza cha mahesabu wakati wa kuwasiliana ni vizuri kuukubali ukweli tu1.Hapana,alikuwa anasoma masomo yote yaliyokuwa yanatumia Kiingereza kama lugha ya kufundishia isipokuwa Kiswahili (form 1-4).
2.Kazini kama Mwalimu/Lecturer alitumia Kiingereza chenye lugha za kimahesabu zaidi kuliko mazungumzo ya utetezi/majadiliano yenye kariba ya ujamii, usiasa au diplomasia.
Fanya utafiti ndogo tu kwenye vyuo vyetu karibu vyote nchini utagundua hata lugha ya wanayotumia wanajumuiya ya vyuo vyetu katika kuchangamana tofauti na kufundishia au kufundisha ni Kiswahili.
Na sababu ni moja kuwa Lugha ya Taifa ni Kiswahili, hivyo walio wengi wanapokuwa wanazungumza Kiingereza wanakuwa ni wenye kufanya Tafsiri ya neno /maneno kichwani ndipo utamka.
Hivyo Prof. yuko sawa kabisa, wapo ambao hawawezi kutamka with confidence maneno /matamshi ingawa ni mabingwa Linguistic.
Kama ndivyo tunataka tusije lalamika siku zijazo eti watoto wetu hawapati kazi kwa kuwa hawajui Kiingereza lakini wanajua kufanya kazi, kazi wanapeana wenyewe kwa kuwa watoto wao wamewasomesha nje ya nchi /ndani ya nchi kwenye shule za pesa nyingi
Mzee Mkapa (RIP) alikuwa anajua kiingereza kwa kweli.Acheni kusumbua mnajua Syntax nyie? tulieni na Joyce ni kichwa hapimiwi na Utopolo wa malkia. Kuna English bongo acheni hizo Bongo English ni Utopolo tu
Tofautisha mama Samia na Joyce, mmoja kaathiriwa na mother tongue, mwingine ni mtu wa mwambao ana fluency hata kwenye Kiswahili, ulimi wake unanyumbulika kirahisi kwa hiyo yeye kuongea kingereza kama muingereza inawezekana sana.Kingereza Cha usdm ina mashaka Sana wengi nawajuwa vijan fln wakiongeaa unaweza Saba makofi yaani hata jiwe c alipita pale nakusoma London lkn wapi ..mam Samia Hana elimu kubwa lkn kingereza chake kimenyooka mnoo unlike kina Joyce na kina jiwe duh yaani elimu wameungaa unga mnoo
Tena unaonyesha ulivyo mjinga wa hali ya juu kwa kusingizia science! Sijaona mwana science mjinga asiyefahamu lugha akaandika kitabu! Sihahudhuria seminar wala workshop ya Wana science wakiwasilisha mada zao kwa broken english.Kufundisha mahesabu ya engineeering unahitaji kujieleza kwa kiasi gani zaidi ya kushuka calculations, unataka kusema waziri ni bubu wakati tunamsikia akiongea kila mara.........haya mambo ya maelezo meeeeengi mnayo nyinyi huko mangwini, huku kwenye science tuna deal na facts tu hatuna longolongo nyingi.............
Ndo maana hata maagizo yake ni kufelisha.Huyu mama zero kabisa Ajabu anaongoza wizara nyeti Kama hii
Hapa hatuongelei accent wewe. muwe mnajaribu kusoma kabla ya kurukia madaKuna namna watu wanashindwa kuelewa, huwezi kama mwafrika na mtanzania kuzungumza British accent unless uwe hujaathiriwa na mother tongue. Huyu mama hawezi kuzungumza English kwa British accent, atazungumza kwa Kiha accent na hiyo ni kawaida sana.
Je, kuna broken English anayozungumza au ni athari za mother tongue tu? Kama ni mother tongue tusimlaumu, kama ni broken hapo sawa.
Kwenye science kuna terminologies siyo maneno ya kwenye kanga kama ya ungwinini, ndo maana ni vigumu sana kuwaelezea mangwini kama wewe scientific concepts kwa undani zaidi ya kuwapa juu juu tu kulingana na uelewa wenu mdogo....Tena unaonyesha ulivyo mjinga wa hali ya juu kwa kusingizia science! Sijaona mwana science mjinga asiyefahamu lugha akaandika kitabu! Sihahudhuria seminar wala workshop ya Wana science wakiwasilisha mada zao kwa broken english.
Science maana yake siyo kuwa mjinga wa lugha. Ndani ya science kuna utajiri mkubwa sana wa lugha mchanganyiko zikiwemo hata lugha zinazopotea kama kilatini.
Tatizo la mtu kama wewe ni kukariri na kutumia muda mrefu kujikaririsha badala ya kuelewa. Ukifahamu lugha utafurahia science yako! Facts zinatolewa na kuelezwa vizuri kwa lugha fasaha!
Kibongobongo wanaoweza kuongea fluent english huenda hawafiki hata 10, wengine ni kukandikija tu na kutafuta tafuta maneno.......ni ngumu kujenga misamiati ya kutosha kwenye lugha ambayo huitumii kwenye mawasiliano yako ya kila siku.nawaona wasomi wasiojua kizungu mkijitetea