Acha contradiction, ukishakuwa scientist tayari lugha unaifahamu, hapa kinachoongelewa ni fluency, accent and ufasaha. Hata nchi za wazungu wenyewe wanaotumia kiingereza kama marekani, uingereza na australia wanachekana kama sisi tunavyowacheka wakenya kiswahili kibovu. Punguza ujuaji usio na msingi, huna uwezo huo wa kuongea fluent english mithili ya muingereza aliyepo london kama wabongo wengi na wanaojiita wasomi walivyo, fanya kazi tu ya kuponda wenzio nyuma ya keyboard lakini tukikuleta mbele itakuwa kituko.