Siyo kweli! Kwa sababu hakuna anayekulazimisha kuongea kiingereza lakini ukiamua kuongea kiingereza basi ongea kwa ufasaha kiasi, usiwe kituko kiasi unaabisha nchi!Ingawa napenda sanaaaa kiingereza ilaaa kwa tz MTU akiongea kiingereza ndo anaonekana mweredi yaan tuna mawazo ya kizamani sanaaaaa...ndo maana mwl wa kiswahili anafanyishwa mtihani wa usaili kwa kiingereza ..........akija Putin au biden useme aongee kiswahili wengi hatutaleta hizi porojooo kuwa hana weredii
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app