Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mkuu ebu tuwekee kamfano angalau basi hata kama haka...i will put you inside...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mh rais samia hebu tengua uwaziri wa ndalichako anatia doa wizara ya elimu hivi vetting ya viongozi wa kitaifa huwa inaangalia vigezo vipi? Hivi ndalichako kama waziri anaenda shule kama za St marry pale mbeya ataongea nini kwa kimombo asishangaze wanafunzi? Mh rais uteuzi wako na mtangulizi wako kwa ndalichako unatia ukakasi. Ndalichako akiongea mbele ya shule za english medium watacheka mpaka wafe.