Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

Mh rais samia hebu tengua uwaziri wa ndalichako anatia doa wizara ya elimu hivi vetting ya viongozi wa kitaifa huwa inaangalia vigezo vipi? Hivi ndalichako kama waziri anaenda shule kama za St marry pale mbeya ataongea nini kwa kimombo asishangaze wanafunzi? Mh rais uteuzi wako na mtangulizi wako kwa ndalichako unatia ukakasi. Ndalichako akiongea mbele ya shule za english medium watacheka mpaka wafe.
Mkuu ebu tuwekee kamfano angalau basi hata kama haka...i will put you inside...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
That may somehow send a signal of our education level/status. Anyway let's praise ourselves that 'english is neither our national language nor our mother tongue'. So worry not !!! 😜😜😜😜😜
 
Mimi nikiri kabisa kuwa hakuna waziri ninaemchukia kama huyu mama. Sina chuki personal ila nauchukia mfumo wa elimu Tanzania na naona kabisa kikwazo cha kwanza ni huyu waziri.

Yani huyu ni zero brain kabisa ilifaa awe anavua migebuka ziwani huko.
UNayemchukia ni Rais huyu mama anatekeleza maazimio ya Baraza m
La Mawaziri kwahiyo chuki zako zielekeze kwa Rais na Baraza lake
 
Ndalichako's English is rounding off to the nearest mother tongue (kiha)
After all too much English without money is Vernacular,
Language is there to facilitate communication but if she is not well understood, better she use Swahili accompanied with translator,
 
Kwani kiingereza ndio nini ? Wewe unayejua kiingereza una nini ?
Mh rais samia hebu tengua uwaziri wa ndalichako anatia doa wizara ya elimu hivi vetting ya viongozi wa kitaifa huwa inaangalia vigezo vipi? Hivi ndalichako kama waziri anaenda shule kama za St marry pale mbeya ataongea nini kwa kimombo asishangaze wanafunzi? Mh rais uteuzi wako na mtangulizi wako kwa ndalichako unatia ukakasi. Ndalichako akiongea mbele ya shule za english medium watacheka mpaka wafe.
 
Mh rais samia hebu tengua uwaziri wa ndalichako anatia doa wizara ya elimu hivi vetting ya viongozi wa kitaifa huwa inaangalia vigezo vipi? Hivi ndalichako kama waziri anaenda shule kama za St marry pale mbeya ataongea nini kwa kimombo asishangaze wanafunzi? Mh rais uteuzi wako na mtangulizi wako kwa ndalichako unatia ukakasi. Ndalichako akiongea mbele ya shule za english medium watacheka mpaka wafe.
Kweli Prof kwa kweli ile ni aibu sana lakini labda ni light tu ila hmmmm mbona ameitumia zaidi miaka 45 tangu form 1 hadi leo ???
 
Mh rais samia hebu tengua uwaziri wa ndalichako anatia doa wizara ya elimu hivi vetting ya viongozi wa kitaifa huwa inaangalia vigezo vipi? Hivi ndalichako kama waziri anaenda shule kama za St marry pale mbeya ataongea nini kwa kimombo asishangaze wanafunzi? Mh rais uteuzi wako na mtangulizi wako kwa ndalichako unatia ukakasi. Ndalichako akiongea mbele ya shule za english medium watacheka mpaka wafe.
Kumbe Naye ni Engineer Soma hiyooooo Eeeh, umeongea kitu cha kijinga sana
 
Alikuwa anatokwa na jasho mpaka kwenye meno[emoji23]
Kasemaje jamani naomba kavideo nicheke mie.

Sasa waziri anashindwa kwenda tuition ya siri? Mbona harmonise hajasoma lakini sasa hivi sikia anavyoongea na wazungu wake😂😂😂😂

Miaka ya nyuma kuna mwanaume nilikuwa namjua vizuri, pesa zipo afu anaonekana smart, sasa mimi nilikuwa sikui kuwa kinge hajui, sasa ukiwa na hela lazima kukutana na watu wa maana😂
Anasema siku moja yalimkuta kati ya wageni wake mmoja alikuwa hajui kiswahili. Ananiambia alijiskikia vibaya akamlaumu sana baba yake. Basi alimtafuta mwalimu mmoja toka shule ya medium alikuwa mganda alimlipa mshahara wa miezi 6 alimpiga msasa hatari sasa hivi ananyooka kinge hatari iwe ya kuandika au kuongea.

Sasa hawa viongozi wanashindwa nini? Mbona watu wakufundisha wapo? Si nikumuita kwake akamfundisha tenses hizi ndo zinaleta shida kwa sisi tulosomea st kayumba😂😂
 
Ndalichako's English is rounding off to the nearest mother tongue (kiha)
After all too much English without money is Vernacular,
Language is there to facilitate communication but if she is not well understood, better she use Swahili accompanied with translator,
We nae profesa anaanzaje kuambatana na translator? Unataka waanze kuhoji u profesa wake?
 
Back
Top Bottom