inaleta shida kidogo kwa mtu wa level ya Profesa tena tunaambiwa amesoma Canada ambako lugha ya kufundishia ni kienglish halafu akawa hajui hiko kienglish...
Hili ni tusi kwa elimu yetu, maana tunaambiwa lugha ya kufundishia kuanzia secondary mpaka chuo kikuu ni Kienglish halafu wahusika hicho kienglish hawakijui, sasa huko shule waliwezaje kuelewa na kufauru mitihani kama sio usanii tu...
Hili suala la kienglish linapaswa kuangaliwa kwa jicho kali sana kwenye elimu yetu....tuamue moja tu kiswahili chekechea mpaka chuo kikuu au kienglish chekechea mpaka chuo kikuu.. TUNACHOFANYA SASA NI UNAFIKI NA USANII..