Akili sio kiingereza cha kuongea kila Mmoja anaudhaifu wake, tafuta paper Zake alizopublish ndio ujue kuandika si kuongea na kuongea si kipimo cha akili
Huyu ni kichwa na mwanasayansi mwanamahesabu Mkali sana.
Tuangalia uthubutu na kujiamini pia tujivunie lugha zetu, upumbavu ni pamoja na kuabudu lugha za kigeni.
Lingual franca ni muhimu lakini si kwa kashfa kama hizi.
Wanyakyusa wana msemo "Imbwa syasekene palukama" niliichota kwako hii .
In any case there shall always be difference/variety/diversify in all aspects of life and so is the creation by purpose.
Tupambanie Bunge letu liwe na sessions za kuongea kwa kiingereza ndio tutaelewa nini maana ya 4 language skills.
I have never had a feeling that am better off than anybody in anything but am certain there those better and better than me.