Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kizungu kibovu hatari,Mh rais samia hebu tengua uwaziri wa ndalichako anatia doa wizara ya elimu hivi vetting ya viongozi wa kitaifa huwa inaangalia vigezo vipi? Hivi ndalichako kama waziri anaenda shule kama za St marry pale mbeya ataongea nini kwa kimombo asishangaze wanafunzi? Mh rais uteuzi wako na mtangulizi wako kwa ndalichako unatia ukakasi. Ndalichako akiongea mbele ya shule za english medium watacheka mpaka wafe.
Hivi nchi hii nani katuloga na hizi mindset za kijinga kiasi hiki? Kuwa kingereza kizuri ndo kipimo Cha elimu bora ni kweli??!Mh rais samia hebu tengua uwaziri wa ndalichako anatia doa wizara ya elimu hivi vetting ya viongozi wa kitaifa huwa inaangalia vigezo vipi? Hivi ndalichako kama waziri anaenda shule kama za St marry pale mbeya ataongea nini kwa kimombo asishangaze wanafunzi? Mh rais uteuzi wako na mtangulizi wako kwa ndalichako unatia ukakasi. Ndalichako akiongea mbele ya shule za english medium watacheka mpaka wafe.
Alikuja akasema pia,Kiingereza ni "kiswahili"Cha Dunia.Baba wa Taifa alisema Kiingereza ni lugha ya mabeberu, tujivunie Kiswahili. Matatizo yalianzia hapo.
Hata kama anaongea Broken lakini kwani haeleweki??? Kazi zake kitaaluma hazifanyiki???Mh rais samia hebu tengua uwaziri wa ndalichako anatia doa wizara ya elimu hivi vetting ya viongozi wa kitaifa huwa inaangalia vigezo vipi? Hivi ndalichako kama waziri anaenda shule kama za St marry pale mbeya ataongea nini kwa kimombo asishangaze wanafunzi? Mh rais uteuzi wako na mtangulizi wako kwa ndalichako unatia ukakasi. Ndalichako akiongea mbele ya shule za english medium watacheka mpaka wafe.
Muasisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zimbabwe, aliwahi kuwa mkuu wa shule ya sekondari huko Mbeya!Cc mulugo
You!Don't say bad words now.You will go inside just now.You will stay there insideMimi naonaga dishi kimtimdo Lina changamoto
Ahhhh ahhhhhh ahhhhhhhh zati....Sijamuelewa anazungumzia nn..aaah aah nyingi, point yake ipi hasa
Acha kuropoka mkuu.Hivi nchi hii nani katuloga na hizi mindset za kijinga kiasi hiki? Kuwa kingereza kizuri ndo kipimo Cha elimu bora ni kweli??!
Hivi mtu aliyesoma English hapo kwa Ras Simba utamweka kwenye level moja na Ndalichako in terms of intellectual content hata Kama anatiririka English vizuri kuliko Ndalichako?! Mfano Harmonize umlinganishe na Ndalichako.
Mnatakiwa muelewe kitu kimoja kuwa Elimu ni kiwango cha maarifa alichonacho mtu kichwani na siyo uwezo wa kumudu Lugha fulani kwa ufasaha. Lugha inatusaidia kuwasiliana tu, na kiwango cha English ya Ndalichako kinamtosha kabisa kuweza kutumia maarifa yake katika kazi zake.
Hivi hushangai huyo unayemsema amekuwa katibu mtendaji wa baraza la mitihani kwa muda mrefu tu, bila shaka hata cheti chako kina sahihi yake, amefundisha Udsm kwa miaka kadhaa, unafikiri katika kutekeleza majukumu hayo hakutumia English?!!
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Yeye si Professor wa Kiingereza.View attachment 2046608
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
Si sahihi.Acha kuropoka mkuu.
Elimu yetu kuanzia form one hadi huko PhD tunatumia lugha ya Kiingereza.
Sasa mtu anakuaje msomi kwa kusoma more than 20 years kwa lugha hiyo hiyo then ashindwe kuimaster?
Hapo ndiyo wajumbe wanasema alikuwa anakariri tu badala ya kujifunza.
Kwa Tanzania,ukisoma sana then ukawa na poor English.Usomi wako unatia shaka!
Usahihi ni upi?Si sahihi.
Bro kaulize shule aliyosoma Waziri halafu linganisha na hiyo shule ya hao Kindergarten. Kiingereza ni kama lugha nyingine tu hata kama unajifunza darasani (ambayo kwa watu wengi ilikuwa ni sekondari kwa miaka minne). Lakini pia kuna watu wana vipaji vya kujifunza na kuongea lugha mbalimbali, wengine hawana. Hata kama wanafundishwa shuleni lakini wanashindwa. Kuwa na kiingereza kibaya, kusitufanye tumhukumu mtu kwamba hajui kitu.Usahihi ni upi?
Mtu anasoma hadi PhD anashindwa na vitoto vya kindergarten??
MichongoView attachment 2046608
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?