Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

View attachment 2046608

Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
Mbona anaeleweka? Ana accent nzito lakini anaeleweka. Sisi mbona tunawasamehe ( tena tunawapongeza) wazungu wakiongea lugha yetu bila ufasaha wowote?

Amandla...
 
Siamini kuwa hajui lugha hiyo ya malkia.

Kutakuwa na sababu kama ya yule aliyeshindwa kuapa.
 
Kungekuwa na utaratibu mtu akichaguliwa kuwa tutorial assistant basi apelekwe nje angalau kwa miaka miwili aka-brush kimalkia chake!
Hii inafanyika pale pale Chuo tatizo linaweza kuwa ni yeye mwenyewe kwa sababu lugha ni matumizi.
 
Uyu si ni Profesa au? Thesis ilikuaje?
U Profesa hauhusiani na thesis. U Profesa ni ualimu na kuna nchi zinaangalia Mambo uliyofanikisha ndio wanakupa u Profesa hata kama hauna Master's au Ph.D. Thesis inahusiana na Masters na Ph.D. Mtu kama Bill Gates akiamua kufundisha atapewa u Profesa hata kama hana Ph.D.

Amandla...
 
View attachment 2046608

Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
[emoji23][emoji23]Nilipo sikia hicho kiinglish Cha professor Ni kakumbuka kipindi hicho enzi za secondary tunakalili kwa ajiri ya dibet na morning speech,Ila kazingua aizee English ata haivutii duuhhh
 
Hawa makaburu CCM na serikali yao siwapendi kama ukoma lakini jambo la kiingereza wala siyo issue...kama ujumbe aliokuwa anatoa umefika inatosha sana
 
View attachment 2046608

Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
Huyu mama ni kichwa, kijiografia akiwakilisha vema magharibi mwa Tanzania, lakini apewe wizara nyingine, sio ya Elimu, hasa hii mpya inayotoka wizara ya AFYA atafanya vizuri tu. Hiyo ya Elimu mpeni Dr mmoja hivi au Professor kutoka ndani ya baraza au bungen mradi asiwe Dr wa aina ya Msukuma. Ni mama mstaarabu asiye na makuu. Pole mama. Elimu zetu za awali au mazingira mara nyingine zinatuletea yatokanayo na sio kosa letu.
 
Kwa kweli mama lugha ya malkia ilimuacha mbali sana. Kwa hali hii ni vema akawa anafanya mahojiano ya kiswahili tu na hata akihojowa na mtu wa nje atafute mkalimani aweze kuelezea hoja zake!
Huyu mama akiongea hii lugha anaweza kukosa kueleweka kwa sababu pengine ana fikra nzuri na sahihi sana ila anashindwa kuziwalisisha kwa lugha hhii ya kigeni
 
Baba wa Taifa alisema Kiingereza ni lugha ya mabeberu, tujivunie Kiswahili. Matatizo yalianzia hapo.
... alitaka mabeberu aongee nao yeye tu!
1639797226125.png

Anaongea English ila kwa lafudhi yake yeye kama yeye sio wale wanaowaiga Waingereza au Wamarekani
USICHANGANYE 'ACCENT' NA 'FLUENCY'!
1639816407910.png
 
India wanasifika kuhodhi one of the best professionalism duniani, especially kwenye medical field. But Inglishi yao sasa. Wabongo ila, ama wamebwia gongo huko Gongo-la-Mboto au nadhani wangali na matongotongo ubongoni hadi mgongoni.
 
Kiingereza ni tatizo la Taifa. Hata wewe unalo.

Hiyo sentensi yako inaonyesha.

Andika kiingereza utakaponijibu ujione usivyojua kiingereza.
Hahahaa kweli kabisa,sidhani kama kuna mtu yoyote hapo anaongea kiingereza fasaha.hilo ni janga ila wana life yao poa tu.ni lugha yetu ya pili ila duh?!
 
Back
Top Bottom