Rais Samia: Kijana aliyeongoza Uokoaji atafutiwe nafasi Jeshi la uokozi

Mkuu huwa mnatafuta nafasi za uteuzi au, sio kwa mapambio na misifasifa izi kila uzi, mpaka inakuaa keroo.
 
Wewe si ndiyo uliuliza swali "Hizi akili huwa mnatoa wapi" kwa Erythrocyte pale alipohoji kwa nini wavuvi waliosaidia kuokoa abiria hawakupewa nafasi kuongea kwenye tukio la kuaga wahanga wa ajali.

Mara sasa hivi unaona kuwa mvuvi aliyesaidia kuokoa abiria ni wa maana na unakubaliana na mama kumpa ajira jeshi la uokozi.....nikisema wewe ndiyo hujui ulikopeleka akili utabisha?
 
Hata akiwa Hana cheti wamfadhili asome QT apate ajira,
SI hii biashara ya wenye ajira na marupurupu kibao wakisisitiza watu wajiajiri kama ni kitu kirahisi vile!!
 
Kijana huyu ndio alizamia na kwenda kufungua mlango wa ndege na hatimaye abiria 24 wa Precision Air iliyozama kuokolewa
Kumbe hiyo milango ya dharura ufunguliwa kwa nje pia! Sikuwahi kuona kwenye demonstration! Aliufunguaje?
 
Ushindi Kwa wazembe wanaipwa hela za bure na kuacha kazi ya uokozi ikifanywa na wasio na ajira anautoa Nani? Bila aibu unasema ushindi Kwa serikali? Serikali ishinde Kwa kudandia ujasiri wa msamalia mwema? Akili kisoda hizi.
 
Vic at least sasa majibu ya maswali ya jana yanaanza kupatikana ikiwepo swali la ni vipi wale watu 26 walitoka ndani ya ndege
Kwamba waajiriwa wa serikali Hakuna walichofanya zaidi ya kuiangalia ajali kama zoezi la majaribio.
 
Mkuu huwa mnatafuta nafasi za uteuzi au, sio kwa mapambio na misifasifa izi kila uzi, mpaka inakuaa keroo.
Mkuu huwa mnatafuta nafasi za uteuzi au, sio kwa mapambio na misifasifa izi kila uzi, mpaka inakuaa keroo.
Nampongeza Rais wangu kwa Jambo Hilo maana amefanya kitendo Cha kiungwana Sana kilichogusa hisia za watu wengi Sana ambao walitamani kusikia maneno hayo kutoka kwa Rais wetu mzalendo
 
Aiseee
 
Mkuu, suala hapo ni Rais ameguswa na uhodari, ujasiri na uthubutu wa kijana iliyopelekea Watanzania wenzetu kunusilika kufa majini. Jambo hili limepelekea kuagiza apewe kazi yenye kuendana na kazi nzuri aliyoifanya.

Ukiondoa pengine suala la yeye kuwa mfariji kwa wafiwa na majeruhi wa ajali, hayo mengine sijui mwenye huruma, sijui ni mwenye kujali n.k. sidhani kama ulipaswa kuyagusia hapa katika hoja iliyopo mezani.
 
Nyie watu wajinga mno, taarifa zilichelewa kufika kwa serikali, au ulitaka waote? Wavuvi ndio walikua karibu na ndio maana walikua wa kwanza kusaidia
Ni Bukoba ipi unayoongelea ndege ianguke Taarifa ichelewe kufika serikalini? Hao wanaoonekana wamevaa suti huku wameshikiwa miavuli wasilowe tunawafahamu mmoja ni DAS Bukoba.
 
Safi sana,maana tulishazoea kuona watu wajingjing tu wanafanya mambo
Alafu eti wanaonekana mashujaa
Kitaifa kwa lipi walilofanya
Bora watu kama hawa taifa ndy iwatambue

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…